@daktarimtalii Unafanya kazi ya kizalendo mzalendo achagui wapi kwa kulitumikia taifa lake Taifa linamchagulia wapi anaweza kusaidia na kikubwa haijalishi waputaenda muhimu kusimamia haki, weledi na utii na uzalendo ukiwa kazini.
@ZPlanmaster Yaani hii DS Kabisa mpka waseme yaani hapo bado Ina hatari hii wafanye tu wabadili mfumo wa ufundishaji wake wengine wapone sisi tumetoboa ila ni kisanga kwenye kusoma Kabisa π³π³π³ππ
Mafanikio kwenye maisha ni kama kuzaliwa ni suala la bahati na kila mtu ana muda na wakati wake, kufanya kazi kwa bidii, kusali na kusubiri muda wako ufike.
Haijalishi nini ambacho unaamini lakini ni muhimu sana kuamini kile unachokiona kwa macho muda huo huo upande mgumu zaidi ni kuamini vile ambavyo haviwezi kuonekana kwa macho ya kawaida.
Kuwa kwao kimya haimaanishi kwamba hawaoni lakini watakutafuta pale ambapo watakuona sehemu ambayo hawakuwahi hata siku moja kufikiria kama utafika hapo.
Mapenzi ni ya kipekee na hayatabiriki muda mwingine inakubidi hupende kile unachokichukia sana na wakati mwingine inakubidi huchukie kile unachokipenda sana.
Kuifanya kuwa bora zaidi inahitaji uvumilivu sana na uvumilivu unahitaji muda na muda una kawaida ya kubadilisha mipango lakini kubaki kwenye lengo ndio inapelekea mafanikio.