@theyawofosu Been asking myself same question, you could be born anywhere in this world, it's land but home is home, you play for your country your flag, YOUR PEOPLE!
Hayo yote yanasababishwa na kiherehere cha mashindano ya shule na shule. Napendekeza angalau ... angalau drs la 4 iwapo mtihani ni lazima uwe ni wa pass/fail tu. Shule yoyote inayofundisha vizuri, watafaulu tu na kuendelea. Mashindano haya ni counterproductive @wizara_elimuTz
Lini wendawazimu wa mitihani utakwisha? Mtoto wa darasa la 4 sasa anatakiwa kuanza kusoma saa 12 kisha anasoma hadi saa 2 usiku. Mtoto wa miaka 10 tu. Tena nasikia akiwa boarding anaamshwa saa 10 usiku. Na hii si shule moja tu. @wizara_elimuTz
Rest in Peace The King of Football #Pele Thanks for being an inspiration to many and making football a game loved by all globally
Kiswahili kitakutambua milele kwa msemo wenye sifa kubwa sana
"Umecheza kama Pele" #RipLegend
Pongezi na shukrani kwako #majaliwa Jackson kwa uzalendo na ushujaa. Ni matumaini yangu kuwa utakuwa nuru kwa vijana wengi waliokosa matumaini na Taifa lao
As Iโve said before, the root cause of the majority of problems we see in Tanzanian football are Usimba and Uyanga. Mix that with ubabe and unprofessionalism and you get an uncontainable cocktail.