Vice President of #Tanzania, Philip Mpango, has arrived in #AddisAbaba to take part in the 35th ordinary session of the AU Assembly.
State Minister of the @mfaethiopia, Amb. Birtukan Ayano and High-level gov’t officials have accorded a warm welcome to the President.
Nishawahi tolewa kwenye mtihani wa mock kisa ada, kigumu tulitoboa shule tukiwa wadaiwa sugu, leo shule bure na katika shule 100 bora, shule 52 nizakata, Naamini maelfu ya waliokua na mazingira kama Yangu wanapata elimu...R.I.P chuma ulichagua upande wa Wanyonge
Tumfuate Mzee Alli Hassan Mwinyi, tumuombe afute kauli yake ya #TZKichwaChaMwendawazimu kwani bado inaitesa Taifa Stars. Sasa inahitaji dua na maombi ili kufuzu AFCON, tena ni maombi ya kutaka jirani afe kwa matumaini ya kurithi mali zake.
@KennedyMmari@MariaSTsehai@TheoGiyan
#SikilizaTogolani "Kipimo cha kujua sasa umekuwa mtu mzima ni pale
ambapo idadi ya wanaokulilia shida wewe inaongezeka wakati idadi ya wewe unaoweza kuwalilia shida inatoweka. Yakikufika pokea kwa moyo mkunjufu, yanakujaga na baraka zake pia." Usia huu nilipewa na Mama Mzazi