"Riots do not develop out of thin air. Certain conditions continue to exist in our society which must be condemned as vigorously as we condemn riots. In a final analysis, a riot is the language of the unheard." - Martin Luther King Jr. (1967).
...kisha tunarudi ndani, tukitafakari hatma ya uhuru na usalama wetu.
Historia ya 'kipande system' uliyoifuta mara tu baada ya kuwaaga wakoloni, leo hii imetumika kama chombo cha kusherehekea siku yako. Leo imepambwa na vizuizi vingi; ili kuvuka, lazima uonyeshe 'kipande'.
Dear TANGANYIKA,
Leo ni siku ya kumbukizi yako adhimu, wakati ambao ulitangaza UHURU wako na kufungua enzi mpya ya taifa lenye matumaini ya kujitawala kwa UHURU na KAZI.
Miaka 64 baadaye, tunaikumbuka siku yako tukiwa kama nguchiro juu ya kichuguu chake, tunachungulia nje...
Today, CdA Lentz engaged in a candid exchange with President Samia Suluhu Hassan about the present and future state of the U.S.-Tanzania bilateral relationship.
"Journalism should be more like science. As far as possible, facts should be verifiable. If journalists want long-term credibility for their profession, they have to go in that direction." - Wikileaks Founder, Julian Assange
Anaandika Mtapa Ng'Wanandagula
TIMU YA UCHUNGUZI WA CNN β TANZANIA
Ripoti ya uchunguzi iliyotolewa na CNN iliandaliwa na wafuatao:
1. Larry Madowo
Mwandishi Mwandamizi, mwenye uzoefu wa kuripoti masuala ya kimataifa hususani uchumi na siasa. Ana Shahada ya Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Daystar, Kenya, na MBA kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, New York, USA.
2. Gianluca Mezzofiore
Mhariri Mwandamizi na mtaalamu wa uchunguzi wa taarifa za wazi. Amewahi kuthibitisha video ya wanajeshi wa Ethiopia wakiua raia na kutumia ubakaji kama silaha ya kivita huko Tigray. Ana Shahada ya Fasihi kutoka Chuo Kikuu cha Bologna, Italia, na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa Habari kutoka City University, London, UK.
3. Florence Davey-Attlee
Mwandishi Mwandamizi na mtayarishaji wa vipindi. Amewahi kuripoti matukio muhimu barani Ulaya, ikiwemo mashambulizi ya ISIS nchini Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani na Uturuki. Ana Shahada ya Uzamili katika Uandishi kutoka Chuo Kikuu cha Westminster, UK, na Shahada ya kwanza ya Sayansi ya binadamu (BSc in Human Biology) kutoka Chuo Kikuu Oxford, UK.
4. Barbara Alvanitidis
Mwandishi Mwandamizi anayesimamia uzalishaji wa maudhui. Ni msaidizi wa Kitengo cha Habari za Uchunguzi cha CNN. Amesharipoti matukio mengi kwa kufichua na kubainisha wahusika. Ana Shahada ya Uzamili katika Uandishi wa Habari za Kimataifa kutoka City University, UK, na Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, Canada.
5. Benjamin Strick
Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtaalamu wa uchunguzi. Amejikita katika uchambuzi wa taarifa za ukiukaji wa haki za binadamu na uhalifu wa kivita. Ana Shahada ya Sheria (LLB) kutoka Chuo Kikuu cha Bond, Australia, na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi. Ni mshindi wa tuzo ya OSINT Champion of the Year β 2021.
6. Julie Zink
Mhariri Mwandamizi wa Maudhui ya Video. Amewahi kuwa Mzalishaji na Mhariri wa maudhui kabla ya kuwa Mhariri mwandamizi. Ana Shahada ya Kwanza ya Lugha na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa habari kutoka Chuo Kikuu cha Virginia, Marekani.
Naomba CV za wale Waandishi went, Machawa wa Nduli Idd Amin Mama ili tufanye ulinganifu kuna kitu nataka kuona.
...kimya wakati uhalifu wa mauaji ya kibinadamu unatekelezwa, ambapo vyombo vya habari vya kimataifa pekee ndivyo vilisimama kama sauti ya WANANCHI kwa kutoa taarifa kuhusu kilichokuwa kinaendelea, licha ya changamoto za kimazingira, ikiwemo kuzimwa kwa mtandao wa 'Internet'.
TUSI KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI
Kitendo cha BUNGE letu kukaa kimya kwa dakika moja, ikiwa ni ishara ya kutoa heshima kwa maelfu ya raia waliopoteza maisha wakati wa uchaguzi, ni matusi makubwa kuhusu uwajibikaji wa vyombo vya habari rasmi vilivyopo nchini, ambavyo vilikaa...
Kifo chake kinatajwa kuwa pigo kubwa kwa siasa za Kenya na Ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo taarifa za awali kuhusu hali yake zilijaa utata mtandaoni kabla ya familia kuthibitisha kifo cha ODINGA, aliyekuwa nembo ya harakat za demokrasia, haki za binadamu na mageuzi ya kitaifa.
PUMZIKA KWA AMANI RAILA ODINGA π
#Nairobi: Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025, akiwa na umri wa miaka 80, wakati akipokea matibabu katika hospitali ya Ayurvedic eneo la Koothattukulam, Kerala nchini India.
3. "...Masikini yuko tayari kubahatisha, potelea mbali! Masikini hana cha kupoteza. Sana akipoteza, anaweza kupoteza umasikini wake. Lakini hana kingine cha kupoteza." - Mwl. J. K. Nyerere
HAPPY NYERERE DAY 2025
HAPPY NYERERE DAY 2025
1. "Watu wanaoogopa mabadiliko ni wanyonyaji, ni watu walioshiba. Lakini mnyonge lazima atake mabadiliko, mambo mabaya halafu yaende hivi hivi tu?..." - Mwl. J. K. Nyerere
2. "...Mnyonge hawezi kuwa mhafidhina. Majitu mahafidhina ni yale yaliyoshiba, hayataki mabadiliko, mabadiliko yatawaharibia mambo." - Mwl. J. K. Nyerere
Fikiria hapo ni mchana kweupe, tena mbele ya chombo kinachotafsiri sheria, lakini wasimamizi wa sheria wamenajisi sheria kiasi hicho. Je, umewaza ni kitu gani kingempata muhanga kama angekuwa gizani peke yake na wahusika tu?
Discover how collaboration can transform the future for people, society, and the planet. Hear from a panel of experts and take actionable insights this Thursday.
Date: 14th August 2025
Time: 2:00 PM β 3:30 PM EAT
Register now: https://t.co/JUH8FOuufL
#PamojaTunaweza #EmpoweringTheNation