Truth shall set you free,life is short,live with humility!. Injustice to anyone is injustice to all. Not a member of a political party but stands for changes!
@LamuRafael77 Ogopa watu walioweka maslahi yao mbele kuliko utu na haki!. CCM imejaa wanafiki wengi sana, subiri mama akimaliza muda wake utaona watakavyoanza kumgeuka!. Chawa hawakai sehemu isiyo na damu!.
@AnnaTibaijuka Hawa watu wanakopa mpaka inatisha, halafu hatuoni hio spidi ya kukopa kwenye miradi ya maendeleo. Inabidi baada ya CCM kuondoka madarakani deni la taifa lifanyiwe full audit na watu wawajibishwe!
@PMadeleka Ingekuwa hii elimu za kutunukiwa zinaleta faida yoyote basi Museveni angekuwa nazo zaidi ya 100. Hizi hutolewa ili kuwapumbaza viongozi wanaopenda sifa!.
@PMadeleka Hivi mbona hatusikii mambo haya kwenye nchi nyingine?. Museveni na miaka yake yote 40 ya kua raisi hajawahi kutunukiwa hata udokta?. Uchawa na kujipendekeza ni tatizo kubwa Tz!