A Remarkable Moment in African History! 🇿🇦🇹🇿
On November 9, 1996, Nelson Mandela and Mwalimu Julius Nyerere stood side by side in Johannesburg, united by a vision of peace, justice, and stability for Africa.
Their powerful words reflected wisdom, courage, and a belief in African solutions through leadership, dialogue, and unity. A timeless encounter reminding us that true leadership is measured by the pursuit of peace.
@fbuyobe Lakini tarakimu za namba hapo juu kwenye hiyo document inaonyesha ni 15.000.000.00 ni Millions kumi na tano. Ila maelezo ya maneno yanayosema billions 15. Hiyo document ina utata sana .
@Nishati2017 Nishati ni muhimu kwa nchi zinazoendelea kwa sababu ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi, kijamii, na maendeleo ya mazingira. Upatikanaji wa nishati ya uhakika na ya gharama nafuu unasaidia kuendeleza sekta mbalimbali kama viwanda, kilimo, elimu, afya, na miundombinu.
Niliungana na Marais wenzangu wastaafu kutoka Zanzibar kushiriki uzinduzi wa Kigoda cha Taaluma cha Sheikh Abeid Amani Karume katika Ukombozi na Maendeleo ya Afrika. Hongereni Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Mkuu wa Chuo @DrHmwinyi kwa wazo hili jema. Hakika, Kigoda hiki na jina lake vinastahili hadhi, heshima na mchango mkubwa alioutoa Hayati Abeid Amani Karume katika ukombozi wa Zanzibar, kuhamasisha umoja na maendeleo ya bara la Afrika, na kuasisi Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Naamini Kigoda hiki kitakuwa chachu ya kuhimiza mijadala ya kisomi na kutoa majawabu ya kitafiti kwa changamoto za kimaendeleo kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Bidding farewell to his third child in around two months.. Aljazeera correspondent Wael al-Dahdouh lost his eldest son Hamza in an Israeli airstrike today.
In October, he lost his wife and 2 other children in the ongoing Israeli attacks.
@Kiganyi_ Ni nyakati ambazo ukitumiwa T.M.O (telegram money order) chakula cha usiku cha shule huendi kula ukiwa unasoma boarding school… ni mwendo wa kantini…