Mwenyezi Mungu wewe ni mwingi wa Rehma.
Asante kwa Baraka zako kwetu waja wako.
Tunakukwaza na mengi ila huchoki kutubariki,huchoki kuturuzuku,huchoki kutukinga na hasadi,huchoki kutuepusha kwa maradhi....huchoki kutuepusha na misala ya kila aina.
Alhamdulillah 🙏
@IAmSteveHarvey We are all doing this life for the first time. Don't be gaslit by people who seem to have it all together. They might just be luckier. You just do your best.
Kushoto; Gavana wa Murang’a (Kenya), Irũngũ Kang'ata amenunua lori litakalobeba mashine ya kuchuja damu na kuondoa uchafu mwilini (Dialysis)
Kulia; Mbunge wa (CCM) jimbo la Dodoma Mjini (Tanzania), Anthony Mavunde amenunua lori litakalobeba maiti (gari la mazishi) kwenda kuzika.
Mara nyingi tunasema hatuna muda. Je! Nikweli hatuna muda? Hatuna muda, kila penye maneno maneo upo. Hatuna muda, kila penye malumbano upo. Hatuna muda, kila penye mizunguko isiyokua na tija upo. Hatuna muda, kila ugomvi upo. Hatuna muda, kila tatizo ni lako. Hatuna muda kila harusi ni yako nk. Muda upo ni kuupanga na kujipanga nao. Tunashughulishwa na mengi yasiyo na faida yoyote na sisi.
#KSK_Balozi