Hata swali kashindwa kuelewa. Dah!
Hakuulizwa kama Tanzania iko kwenye vikwazo, alichoulizwa ni kwamba, Russia iko vikwazo je Tanzania inatafaya vipi biashara na Russia ambayo iko kwenye vikwazo? Je Tanzania itafanikiwa vipi kuzunguka vikwazo hivyo vya Russia na kufanya biashara
Kuna mtu leo anamchukia Rais Samia ila ukimfuata kwake ukamuomba sababu hata hajui.
Wanafika mbali hawataki awe Rais,ukiwaomba wapendekeze Rais awe nani wanakutajia vichekesho
Imedhaminiwa na watu wa Jamhuri ya Utusi๐น๐น๐น๐น
Welcome to Tanzania, Your Excellency, President of Singapore!
We are delighted to host you as we deepen our strong and dynamic partnership. Tanzania and Singapore continue to forge robust ties in trade, technology, investment, and innovation.
Nilichogundua jibu la hili swali limewaumiza sana wanaharakati walitegemea Rais Dkt Samia ataingizwa kwenye mtego na ndio maana tunamuita Prof wa siasa.
Jibu la Rais Dkt. Samia limedhihirisha kiwango cha juu cha uelewa wa diplomasia na utetezi wa maslahi ya taifa,alipoulizwa kuhusu vikwazo dhidi ya baadhi ya mataifa, hakunaswa na mtego wa kuitaja na wemgi walikua wanasubiri ataje nchi fulani ili wapte hoja za kisiasa,lakini Rais alijibubkwa hekima kwamba,Tanzania haiko chini ya vikwazo na itaendelea kushirikiana na mataifa yote kwa misingi ya heshima, usawa na manufaa ya pamoja.
Huo ndio msimamo wa taifa linalojiamini, linalojitambua na linaloweka mbele maslahi ya wananchi wake na ndio maanajibu lake ilipokelewa kwa makofi kutoka kwa Rais Putin na washiriki wa kongamano, kwa kuwa ilionesha busara, utulivu na umahiri wa kidiplomasia.
Tanzania haiendi kutafuta maadui wala kuchagua kambi za migogoro ya dunia,bali kujenga urafiki, biashara na ushirikiano.
Ni vile tu wanaharakati wamekosa akili ya kufikiria mambo kwa mapana ila kwa kweli mambo anayofanya VP walitakiwa wajitasmin sana juu ya kauli zao zisizo miguu wala kichwa
Rais karejea Tanzania salama usalmin baada ya ziara yake ya siku3 Nchi RUSSIA
#KAZIENDELEE
#BREAKING: SAMIA AKANUSHA VIKALI TANZANIA KUWA KWENYE VIKWAZO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekanusha vikali madai kwamba taifa hilo liko chini ya vikwazo vya kimataifa, akisisitiza kuwa Tanzania iko huru na inaendelea kutekeleza ajenda zake za maendeleo.
Akizungumza katika ziara yake ya kitaifa nchini Urusi, Samia alisema: โTanzania haiko kwenye sanction na kuwa tunapanga kufanya maendeleo ya nchi yetu. Nataka tuwahakikishie kuwa Tanzania haiko kwenye sanction.โ
Kauli hiyo imeibuka wakati ambapo mjadala wa vikwazo umechochewa na hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo Faustine Jackson Mafwele, afisa waandamizi wa Jeshi la Polisi la Tanzania, kwa kuhusishwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.
Wakati huohuo, wiki hii Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo za Umoja wa Ulaya zilipitisha hoja itakayolazimisha Bunge la Ulaya kupitia Kamati ya Maendeleo kuondoa Mpango wa Kila Mwaka wa Maendeleo kwa Tanzania, hatua inayotafsiriwa kama hasara kubwa kwa taifa hilo.
Rais Samia aliwasili nchini Urusi tarehe 3 Juni 2026, kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu, ikiwa ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa Tanzania kufanya ziara rasmi Moscow tangu mwaka 1969 wakati Julius Nyerere alipotembelea Umoja wa Kisovyeti.
Our High Commissioner met
Prime Minister @mwigulunchemba1 earlier today.
The meeting focused on the UK and Tanzaniaโs bilateral relationship, inclusive growth, and the importance of accountability and reconciliation.
@iboysean Kabla ya kuzaliwa kwako, haya maisha yalikuwepo na yataendelea kuwepo tu. Hakuna kitu kipya kati ya Tanzania na Urusi; ni ndugu na marafiki wa miaka na mikaka.
Nani aliekutuma kuanza kuamka Asubuhi na kuanza kujadili habari zetu za Urusi, si wewe mwenyewe? Shida yako unafikiri wewe ni mkubwa kushinda serikali hapo tu!!
Chura, amekupiga za uso kuhusu Abdul kusafiri na Mama yake. Ukaona aibu ndio kuja kuandika Focus ๐ bado hujasema! Yaan Chura katoa elimu nzuri ambayo umefunga mjadala Ila wewe ulishupaza kuwaaminisha watanzania Abdul kuwa kwenye ile ziara ni kosa khaa AIBU.
Na kila siku unajialibia credibility kwa kuja na panicking attacks zako, na misukule yako ilivyo inakufuata tu dah ๐
Ziara inaendelea na leo ndio tunamaliza hivyo jiandae tu mtoto wa shangazi yangu! Na Naomba nikujuze tu na leo nimetumwa niende nyumbani kwa shangazi kama hujatoa lile carpet nitakuja kuwaambia wamarekani! Wakakubadilishie.
Amejibu sahihi na swali alilielewa Maria, amesema โTanzania haiko kwenye vikwazo,โ kwa maana amechagua upande wa Tanzania tu kuonesha kutokana na hilo tunaweza kusimama na hivyo vikwazo vyao.
Msichokijua ni swali ambalo angeenda deep alitakiwa kuwataja washirika hao ambao wameweka vikwazo which sisi kama nchi hatufungamani yeyoye ni rafiki.
Hili swali kwa nyie wanaharakati ndio mlikuwa mnasubiri ataje baadhi ya nchi which kwa Rais Smart hawezi na ndio maana kajibu short sisi hatuna sanctions so atakaye na aje na kama wao wanayo ni wao NA NDIO MAANA MKAONA PUTTIN KAANZA KUPIGA MAKOFI!
Yaan Panel kama hiyo, apigiwe tu makofi kienyeji hivyo? Poleni sana wivu wenu utawaua wanazengo.. so toka Urusi ameenda ndio mwishoni mlifikiri mmeambulia hiko o Mfixuuuu hamna akili!!
Yaan Maria hii ziara ulianza akaunti yako ukahama ukaenda kwenye masudo jinsi inavyokunyima amani