@prossoff 2 Kor 6:14..
Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? ....
Hujazaliwa kulipa bili.
Hujazaliwa kulipa kodi.
Hujazaliwa kupokea mshahara kila mwisho wa mwezi
Jifunze namna pesa inavyofanya kazi, uwekezaji, na uhuru wa kifedha
Tumia kipaji na talanta yako kuunda thamani na kuacha alama duniani.
Kataaa kuwa wa KAWAIDA.
Kijana unaejitafuta kwa maisha ya sasa, bila kujitoa sadaka (sacrifice) bila kujizuia na mambo kama
-Pombe
-Betting
-Starehe
-Kupoteza muda
-Kukosa vipaumbele
-Kutokuwa na mipaka
-Kukosa nidhamu ya fedha.
UTOBOI
BE ruthless kujenga maisha yako, DUNIA ni katili ukiwa masikini
Unafanya kazi USIYOIPENDA na ndo mana unafurahia weekend
Mbaya zaidi, unatumia pesa zako kwenye vitu visivyoongeza thamani kwako
-Kununua kila toleo jipya la simu
-Kununua vitu kwasababu vinauzwa
-Kununua vitu ili ufurahishe watu
Kila pesa unayopata ni mbegu
PANDA MBEGU
Vision yako lazima iwe kubwa kiasi kwamba marafiki wa kawaida wakushtuke.
Kwa sababu unafanya vitu tofauti. Huwapigi simu mchana, huna muda wa kushinda mtaani, na hiyo ni kawaida kwa mtu anayejenga kitu cha kipekee.
Usikubali kuwa wakawaida, break that chain of being ordinary.
Shoutout kwa kila mwana anaejipanga upya maisha yake.. bila msaada, urithi, kubebwa, wala connection.
Ni juhudi, maumivu na nidhamu. Nakuheshimu sana kaka. Nakukubali 👊🏾.
Ukizaliwa mwanaume inabidi ujue kwamba hakunawa kuja kukupambania maishani zaidi yako mwenyewe
Dunia sio sehemu salama kwa mwanaume asiyekuwa na kitu,
-Acha kulaumu
-Acha kulalamika
-Acha Visingizio
Your life is in your hands.
KAZA.