Watanzania sio WAJINGA kumuita SAMIA "HARAMU".
Nani alimchagua SAMIA?
Kura milioni 32 tangu lini zikahesabiwa siku 2 tena kukiwa hakuna Umeme na mtandao nchi mzima na nchi nzima kuna milio ya bunduki?
Huyu ni PROFESA wa kufosi UONGO uonekane UKWELI kwa kutumbua mimacho yake.
Kadiri upepo unavyozidi kuwa mkali, ndivyo tunazidi kuona miti yenye mizizi dhaifu ikianguka na miti imara ikiendelea kudumu. Nafuatilia kinachoendelea Kanda ya Ziwa muda huu na ninachokiona, Oktoba tutakuwa na kazi ngumu zaidi ya ile ya 2015.