🎥Wakiwa hawajuani, wala kupendana, Brad Pitt na George Clooney wanalazimishwa kuficha na kusafisha mauaji, madawa ya kulevya yaliyopotea ndani ya usiku mmoja. Je, watafanikiwa?🤔 #WOLFS#MovieReview Cc @TravesSenior
Bonyeza Link: https://t.co/7qise1lRjD
🎥Hili hapa trailer la movie ijayo ya Avatar: Fire and Ash ambayo itaachiwa kwenye kumbi za sinema mnamo Disemba 19.
Hii ni muendelezo wa iliyopita, Avatar: The Way of Water, zote zikitengenezwa na kuongozwa na mwamba James Cameron.
Tron: Ares is coming to our world. In 1️⃣ month, see Greta Lee and Jodie Turner-Smith in Tron: Ares only in theaters and IMAX. Get tickets now: https://t.co/Bg03R6mlTM
Matt Damon, Ben Affleck, Scott Adkins, Kyle Chandler, Teyana Taylor, Steven Yeun, Sasha Cale, na Catalina Moreno, wameonekana kwenye trailer la movie Kali ijayo iitwayo #TheRip. 😍🍿🎬
Movie hiyo inatarajiwa kuachiwa Januari 16 kwenye jukwaa la Netflix.
🗣️Haya hapa mazungumzo ya Spike Lee na Denzel Washington kuhusu career zao na filamu Yao mpya ya 'HIGHEST 2 LOWEST'. 😁🙌🏾
Movie hiyo inaonyeshwa kwenye jukwaa la Apple TV+ kwa sasa.
Mpo tayari Kwa movie mpya, WAKE UP DEAD MAN: A KNIVES OUT MYSTERY?🤔🔥
Inatarajiwa kuachiwa kwenye kumbi za sinema mnamo Novemba 26 na kwenye jukwaa la Netflix mnamo Disemba 12. 🤩
Nimeshakuwekea recap ya movie utakayoipenda kwenye chaneli yetu ya @ModernFlicksTz. Enjoy 😍 🍿📺
🎥Movie: WOLFS (2024) Ft. Brad Pitt & George Clooney 🔥
Link: https://t.co/BOHGx4Um4Z
Kwenye Review yangu ya 'Captain America:Brave New World' pale @ModernFlicksTz, nilieleza vitu vilivyofanya wengi tusiikubali. Kama haukutazama, bonyeza link hii 👇:
https://t.co/bwxrc6O091
#JurassicWorldRebirth finished 2nd full week approaching the 250M mark at US #BoxOffice!
#ScarlettJohansson grossed 6.8M on #4 LOWEST 2nd TUE Discount Day for the franchise (See Below), harsh -54.2% drop from last TUE).
It hits a 244M cume in the US,.
TOP 2nd TUE for the franchise:
#JurassicWorld ’s 13.1M, -43.1%
#JurassicWorldDominion 7.1M, -51.6%
#JurassicWorldFallenKingdom 11.9M, -35.3%
#JurassicWorldRebirth 6.9M, -54.2%
#JurassicPark 6M, -28%
#TheLostWorldJurassicPark 3.1M, -46.1%
#JurassicParkIII 2.7M, -52.8%
Eyeing a 315M-330M run in the US