Lissu alikuachia chama HUJAMUANGUSHA.
Lissu alikuweka kama shahidi wake HUJAMUANGUSHA.
Kipindi chote zaidi ya siku 600 umeongoza CHAMA kwa shida sana ila umebaki imara, tunaomba usikate tamaa sisi TUNAKUAMINI shikilia hapo hapo.
HIKI CHAMA NI MPANGO WA MUNGU NA WEWE MAKAMU HECHE NA LISSU NDIO MARUBANI WETU.
TUTAVUKA HAPA NA HAYA YOTE YATABAKI STORY, PIGA KAZI MAKAMU.
Naombaa kupata mtu ambaye anaweza nipatia mbuzi 500 had 1,000 kila mwezi ajili ya Export kwenda Dubai na Saudia
Sifa:
1. Mbuzi dume TU
2. Mbuzi wa Tanzania TU
3. Uzito: awe na kilo 7 had 9 baada ya kuchinja na kuondoa utumbo
Kama unaye nipigie 0753594683.
Biashara endelevu
Jinsi ya..
Kuangalia cycle counts ya betrii ya simu.
Hii ni kwa android users pekee.
Ingia play store..
Download - install app inaitwa Ampere.
Link - https://t.co/8gvtuzKLMf
Fungua..
Accept some few steps za namna ya kuitumia.
Then check status ya betri health ya simu yako.
Especially on cycle counts.
Mfano simu yangu hapo count zimefika 664.
Kama cycle count ime exceed 600-800 inategemea na aina ya simu..
..fanya research ujue simu yako count mwisho ngapi.
For me mpaka ifikie 800+ kwa sasa nipo 664.
If count ime exceed kiwango kulingana na aina ya simu fanya mpango wa kubadili betrii ya simu yako.
Unless tayari na tatizo la simu kuisha charge haraka kuliko kawaida, overheating, kifafa cha simu au simu kufa kabisa.
NB: Cycle count of a battery → ni idadi ya mara ngapi betrii imefanya mzunguko kamili kati ya kuchajiwa na kutumika.
#Towohints