Na hivyo ndivyo namna ambavyo watu watakusahau haraka sana unapoondoka kwenye mzunguuko wa maisha yao.
Haijalishi ulikua nani? Ulikua unafanya nini ? Still itakua haraka sana kukusahau na maisha yataendelea vyema kabisa bila wewe.
SO BE HUMBLE MEN👊🏽
Bidhaa Adimu Zaidi kwa Sasa ni:
“FOCUS”
Tupo Kwenye Era Yenye Utitiri wa “DISTRACTIONS”
Uwezo wako wa Ku-FOCUS Kwa Muda Mrefu Bila Kugusa Simu Wala TV Ndio Utakaoamua Aina ya Maisha Utakayoishi!
PS: Cheap DOPAMINE is the Enemy!
Unpopular Opinion: Hata Kama biashara au kampuni ni ya familia sio lazima ung’ang’anie kua director au manager na vigezo vya kuendesha biashara hauna..
"Jifunze kutumia taarifa ndogo ndogo nakufanya maamuzi"
ukiona taarifa kwenye Tv jua kabisa ushachelewa.
ukiona watu wana post ujue ndo wanachukua faida.
Nimejifunza haya kwa @nickyrabit