@grok@godbless_lema Sasa basi @grok naomva umfundishe hapa kaka @godbless_lema kwamba uchumi unahitaji umakini mkubwa, sio akili za kupiga dili ovto ovyotu, mshauri aache kuzingua na kuwadanganya wasuojuwa, sio kitu kizuri kabisa.
@godbless_lema Sasa kaka kweli mnajali pato la Taifa nyinyi? Ilikuwaje mkashirikiana na jirani kwa nguvu zote kujaribu kuharibu soko la utalii Tz ambalo nalo linachangia pato la Taifa? MJOMBA, KUWA MPINZANI, USIWE MPINGAJI!
@mangekimambi Usiseme Gen Z... sema chadema wenzako.
Watanzania wameshaamka sasa, usitake kutuletea fujo wewe ukala kuki kwa mrija... Huridhiki, kila uchao uko busy tuuu kuwachochea vijana wadogo kufanya mafujo na uasi...
Kuwa kibaraka mzuri zaidi, bring your own fsmily here also tuwe sotea
@godbless_lema Kaka acha hizo, kila vice inayotokea nchini inaakuwa kelele "hii nchi wee hii nchi..." tuseme hao Ford Foundation wanaowapa senti kuharibu image ya nchi.. nchini kwao hakuna ajali na shida? Ama kila anaejikwaa huko kwao Serikali inahusika?
@AbroadTanzania Mnajaribu kila namna kuleta machafuko nchini. Mmeshindwa na uchaguzi sasa mnataka kuleta ya kibaguzo/kikabila... HAMTUPATI, HAO HAO FOREIGNERS MLIOWAINGIZA NDIO MTAKAOWAPATA...
Tanzania iko Imara, tumewastukia vibaraka ma madalali wa nchi na roho za wenzenu.
@earadiofm Wako 400... ana muda gani wa kuwapa hii attention? Ama siku zake ni zaidi ya masaa 24 kila siku? Ipo sababu, ila kwa hapa sio attention. Nkikuona mwaka huu nisubirie 1yr, 1month n 5 days or so ndio unione tena.... wapi hio attention?
Jumuah Mubarak!
Remember the Companions of the Cave, who stood strong for their faith. May we also remain steadfast and patient in our trials.
Amin.
#JummahMubarak
{ وَٱسۡتَعِينُواْ بِٱلصَّبۡرِ وَٱلصَّلَوٰةِۚ وَإِنَّهَا لَكَبِيرَةٌ إِلَّا عَلَى ٱلۡخَٰشِعِينَ }
[Surah Al-Baqarah: 45]
And seek help through patience and prayer; and indeed, it is difficult except for the humbly submissive [to Allāh]
#freePalestine