@tonjasamiraggwe here in South Africa hospitals are very professional they just don’t give out patients details hence why he was told “they don’t have records “ you can’t just call a hospital and say I want to know about so and so patient they will never tell you .
@DMaabara@Rydx_017 Sijawahi comment humu hii mara yangu ya kwanza, nimeangalia hii live jana yoote huyu binti anamaumivu sanaa hence why anakuwaga hivi
@izykedy I actually think we are number one ni vile hatuna records zinazoelewa maana wapo wengi huchukua dawa pharmacies hivyo hawapo kwenye record.. Bongo watu hawapendi condoms... SA wana records nzuri ndo mana inasemwa ipo number one... Ila Tanzania mmhh
@joharimshana Mda mwingine ni bora mtu unyamaze sio kuongea ili ujionyeshe u zero brain wako. Yaani ulivyo limbukeni una judge nyumba na maisha ya watu kwa carpet ya ndani? Ni ushamba wa aina gani huu? Muwe mnanyamaza aisee mnatia aibu mfyuuu..
@k_mjege Mafuta yakipanda bei kila kitu kinapanda bei sijui kwanini watu hawalioni hili.. Atapiga hela ndio ila na yeye ataenda nunua vitu vingine hivyo ngoma droo