Dear WANANCHI 77 TUMESHINDA ✅️
88 inakuja JE watazuia tena MAPATO kwa Kututishia POLISI ?
29 OCTOBER 2026 tutafanya IBADA KUBWA ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa mauaji ya #Oct29
Na #9Dec26 ni uzinduzi wa MAANDAMANO Makubwa yasio na ukomo ya kuzuia AFCON 2027. hadi WAPANIKI
Nane nane inakuja "what if?" na vipi kuhusu AFCON, itafanyika chini ya uangalizi wa majeshi? Endeleeni kuziba uso huku tako mmeliacha nje. Muda ni hakimu mzuri, siku ya hukumu haipo mbali sana....
Hongereni sana Vijana wa GEN.Z kwa kazi nzuri mliyoifanya siku hii ya leo, bado mnawaza kuhusu haki ya Ndugu ZENU waliuwawa Tarehe 29.10.2025 bado mnapinga UTEKAJI.
Stay strong kaka, Watanzania wana Imani na wewe. Wauwaji wanajaribu kukuchafua ili uwe mchafu kama wao na wizi wao na ufisadi wao.
Pesa wametoa wananchi ila wanaolalamikia pesa hizi ni wauwaji wa October 29 mpaka wanalipa watu kukuchafua. Wao wanaumwa nini roho? Sisi wananchi tunaotoa hizo pesa tuna Imani na wewe na matumizi ya pesa.
Pumbav, pesa tutoe sisi wananchi ila vinembe viwawashe wao….
Pumbav, na Rolls Royce tutamnunulia Lissu akitoka jela ili wauwaji wafeee kabisa.
JUST IN: Egypt Manager Hossam Hassan:
"We were better, but football is unfair. Maybe they want to keep the world champion and Messi going in the World Cup for marketing purposes."
“I’ll speak my mind regardless of the consequences. This match was clearly rigged, and the whole world saw it.
And one more thing if they want Argentina to win so badly, why invite everyone else to compete?”