#GetToKnow Zaidi ya madaktari 500 nchini Canada wamepinga kuongezewa mishahara, wanadai wanalipwa pesa nyingi na wanajisikia vibaya wakati manesi na wagonjwa wanatahabika. Kwa mujibu wa Canada Broadcasting Corp Madaktari wa mji wa Quebec CA, hulipwa zaidi ya Tsh. 900M kwa mwaka
#GetToKnow Rick Ross anaendelea vizuri baada ya kuanguka akiwa nyumbani kwake, taarifa zinasema Rozay anasumbuliwa na tatizo la kushindwa kupumua na kupoteza fahamu. Rapper Fat Trel amesema amezungumza na boss huyo wa MMG na kwamba anaendelea vizuri
#BroughtToYouByDozenSelection
#GetToKnow Mastaa wote waliotajwa kuwania tuzo za Oscars ambazo zimetolewa usiku wa jana watapewa zawadi ya 'Swag Bag' lenye thamani ya $ 100K, litajumuisha vitu mbalimbali ikiwemo safari ya siku 12 Tanzania
#BroughtToYouByDozenSelection