We deal with recovering data and repair Smartphones📱
iPhone,Tecno,Infinix,Samsung,Oppo,X-Tigi etc.
Based in Dodoma-Tanzania🇹🇿
Former technician at CARLCARE
*NAFASI YA KAZI*
*#Brain Recovery Data* inatangaza nafasi moja ya kazi,
*Sifa za muombaji*
-Awe ni msichana
umri kuanzia miaka 20 hadi 27
-Awe amesoma elimu ya biashara kuanzia ngazi ya cheti (business administration, procurement and logistics, sales and marketing etc)
Interview kwa njia ya online
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/09/2020
Karibuni sana.
Note:
Eneo la kazi ni Dodoma mjini na kazi atakazofanya ni pamoja na;
-Kupokea na kusikiliza wateja
-Kuandaa report ya mwezi
-Kurecord simu za wateja kwenye system
-Kusimamia mambo yote
I'm addicted to the mobile phones,
Huduma zote za kutengeneza simu aina yoyote(software & hardware) wasiliana nasi, tunapatikana Dodoma mjini, Mambo poa street, pia
Unaweza kutufollow @mokollae ili uwe karibu yetu zaidi.
#BrainRecoveryData
I'm addicted to the mobile phones,
Huduma zote za kutengeneza simu aina yoyote(software & hardware) wasiliana nasi, tunapatikana Dodoma mjini, Mambo poa street, pia
Unaweza kutufollow @mokollae ili uwe karibu yetu zaidi.
#BrainRecoveryData
Furaha yetu ni kuona simu yako ikiwa katika ubora wa hali ya juu mda wote, karibuni #BrainRecoveryData tupo Dodoma mjini, Mambo poa street. Karibuni sana.
Napenda kuwatangazia kuwa, #BrainRecoveryData ni official service centre ya simu za D.Light kwa central zone, Dodoma. Simu zote zilizopo ndani ya warranty na out of warranty tunarepair (hardware na software).
We are happy to work with ambitious company like D.light #dlight#M100