@SwahiliBible Mi nimalizie tu kusema tumechagua mfumo wa demokrasia ya vyama vingi ni haki kila chama chenye vigezo kushiriki uchaguzi. Ikitokea kuna mambo hayako sawa kidemocrasia kuna vitu tutakosa kutimiziwa kwa wanaotusaidia hata kama hawatupatii bure naomba kuwasilisha