AGGREY MWANRI: KASI MPYA NDANI YA CCM
Julai 17, 1955 alizaliwa mtoto ambaye, miaka kadhaa baadaye, angekuja kuwa miongoni mwa viongozi waliotengeneza utambulisho wa kipekee katika siasa na utumishi wa umma nchini Tanzania. Baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Aggrey Deaisile Joshua Mwanri alianza safari ya uongozi iliyomjenga hatua kwa hatua kupitia nafasi mbalimbali za utumishi.
Alianza kama Mkuu wa Wilaya ya Arusha (1997โ2000), baadaye akachaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Siha kwa vipindi vitatu mfululizo (2000โ2015). Katika kipindi hicho alihudumu pia kama Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), kabla ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuanzia mwaka 2016 hadi 2020.
Ni akiwa Tabora ndipo mtindo wake wa uongozi ulijijengea utambulisho wa kipekee. Hakutumia lugha ngumu kueleza wajibu wa kazi; alitumia misemo rahisi iliyoeleweka na wananchi, lakini iliyobeba falsafa nzito ya uwajibikaji.
Kauli zake kama โSukuma Ndani,โ โEngineer, soma hiyo,โ na โFanya kama unajikunaโ zilivuka mipaka ya Mkoa wa Tabora na kuwa sehemu ya mazungumzo ya kila siku nchini.
โSukuma Ndaniโ ilikuwa kauli yake ya kusisitiza hatua madhubuti dhidi ya vitendo vilivyochochea mimba za utotoni na ukiukwaji wa sheria.
โEngineer, soma hiyoโ ilikuwa wito kwa wahandisi na wasimamizi wa miradi kuhakikisha ramani, vipimo na viwango vya kitaalamu vinafuatwa kabla ya utekelezaji.
โFanya kama unajikunaโ ilikuwa njia yake ya kuwakumbusha watumishi kwamba kazi inapaswa kufanywa kwa umakini, uwajibikaji na bila kusubiri kusukumwa kila wakati.
Kwa Mwanri, misemo hiyo haikuwa maneno ya kuchekesha. Ilikuwa falsafa ya uongozi iliyotafsiri nidhamu, uwajibikaji na matokeo kwa lugha ambayo kila mwananchi angeielewa.
Leo, safari yake ya uongozi imeingia hatua mpya.
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), nafasi inayokuja wakati chama kinaingia katika kipindi muhimu cha maandalizi ya uchaguzi wa ndani na safari kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.
Uteuzi huo unaonyesha imani ya chama kwa uzoefu alioukusanya kwa zaidi ya miongo mitatu katika ngazi mbalimbali za uongozi,Serikali za Mitaa, Bunge, Serikali Kuu na utawala wa mikoa.
Ndani ya CCM, jukumu lake sasa si kusimamia mkoa, bali kusaidia kuimarisha taasisi ya chama, kusimamia utekelezaji wa maamuzi ya vikao, kuimarisha nidhamu ya wanachama na kuendeleza mshikamano kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.
Na kama alivyozoea kuwaambia wahandisi โEngineer, soma hiyo,โ huenda sasa watendaji wa chama wakapaswa โkusoma vizuriโ Katiba, Kanuni na taratibu za CCM, kwa sababu chama imara hujengwa kwa kufuata misingi yake, si kwa mazoea.
Na kama alivyokuwa akisisitiza uwajibikaji kupitia kauli ya โSukuma Ndani,โ wengi wanatarajia falsafa hiyo itatafsiriwa ndani ya chama kama msisitizo wa uwajibikaji, nidhamu na utekelezaji wa maamuzi ya taasisi.
Kwa Aggrey Mwanri, nafasi hii si mwanzo wa safari, bali ni mwendelezo wa maisha aliyoyatumia katika utumishi wa umma.
Kutoka kusimamia wilaya, kuwakilisha wananchi bungeni, kutekeleza sera serikalini na kuongoza mkoa, sasa amepewa jukumu la kusaidia kuimarisha moja ya taasisi kongwe za kisiasa barani Afrika.
Ni hatua mpya.
Lakini falsafa inaonekana kubaki ileile.
Uwajibikaji, nidhamu na matokeo.
Na pengine, kwa lugha yake mwenyewe:
โSukuma Ndani.โ
JINSI "UMIMI -MAKUNDI" YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA 2025:BUNDI SASA ASHUKA KANDA YA MAGHARIBI.
Kabla ya Mgogoro wa chini kwa chini kati ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Uongozi ya Nyasa-Chadema Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo wa sasa Ndugu Osmund Mbilinyi (Sugu) kutatuliwa,kumeibuka mgogoro mpya ndani ya Kanda ya Magharibi.
Mwenyekiti wa Chadema hicho Mkoa wa Kigoma Ndugu Rajabu Mfaume Bujoro ameibuka na shutuma nzito dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi,Wakili,Dickson Matata.
Mwenyekiti wa Kanda hiyo Wakili Msomi Dickson Matata ambaye alikuwa upande wa Mwenyekiti Freeman Elikael Mbowe wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho wa mwaka 2025,anatajwa KUWABEBA na kuwapa VYEO kwa upendeleo wanachama ambao walimuunga mkono Freeman Mbowe pekee huko AKIWATEMA wafuasi wa Tundu Lissu ambaye ndie Mwenyekiti Taifa,akiwemo Rajabu Mfaume Bujoro mwenyewe.
Shutuma hizo zinakuja wakati ambao Viongozi mbalimbali wa Chadema Mikoani na Wilaya wamekuwa wakijitokeza kila siku kumshinikiza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu John Heche kujiuzuru kupisha Uchunguzi huru wa shutuma za matumizi mabaya ya fedha za Chama hicho.
Uwepo wa makundi hayo mawili takribani mwaka na miezi kadhaa sasa,unapelekea wananchi kujiuliza kama kweli Chadema ni Chama cha Kidemokrasia kama ambavyo wamekuwa wakisema.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamehoji uwezo wa Makamu Mwenyekiti John Heche kushindwa kuunganisha Chama hicho kabla ya kwenda kwenye AJENDA za kuishinikiza Chama cha Mapinduzi kutekeleza MARIDHIANO.
Wakili Dickson Matata anatajwa na TIMU Lissu akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Rajabu Bujoro kuwa anaweza kuwa chanzo cha kuvuruga umoja na mshikamano ndani ya Kanda hiyo.
Mpasuko mwingine wa chini chini unaendelea ndani ya Kanda ya Kati baada ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo KUMSIMAMISHA Uanachama Katibu wa Chadema Mkoa wa Morogoro na baadae Katibu Mkuu wa Chadema Taifa Ndugu John Mnyika kumrudisha Katibu huyo kwenye nafasi yake.
Hatua hiyo imezua mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo na Katibu Mkoa wa Morogoro kiasi kwamba Katibu huyo kupokea BARUA mpya kutoka Kanda ya Kati Ikimtaka AJIELEZE hata baada ya Katibu Mkuu Taifa kumrudisha Ofisini.
Chanzo kikuu cha KUVIZIANA huko ndani ya Kanda hizo Kuu tatu kunatajwa ni UWEPO wa Makundi,Upendeleo na Kujuana kutokana na makundi ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho 2025.
Wananchi wamehoji na kuwa na mashaka kama kweli Chadema wanaweza KUSIMAMIA mambo makubwa ya Kitaifa/Nchi kama hata mambo yao ya ndani ya Chama wanashindwa kuyamaliza.
Mpasuko huu wa ndani ya Kanda KUU TATU muhimu unakiacha Chama hicho kwenye SINTOFAHAMU kubwa juu ya uwezo wa UONGOZI wake wa kuweza kuunganisha wananchama wao kabla ya kutaka kuwaunganisha Watanzania kupigania KATIBA MPYA.
Shutuma hizi zinaibuka katikati ya shutuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyekiti NduguJohn Heche kuhusu matumizi mabaya ya Fedha za michango kutoka kwa WADAU.

Kabla ya Mgogoro wa chini kwa chini kati ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Uongozi ya Nyasa-Chadema Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo wa sasa....
๐๐๐๐ก๐ฆ๐ "๐จ๐ ๐๐ ๐-๐ ๐๐๐จ๐ก๐๐" ๐ฌ๐ ๐จ๐๐๐๐๐จ๐ญ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐ช๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ: ๐๐จ๐ก๐๐ ๐ฆ๐๐ฆ๐ ๐๐ฆ๐๐จ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐๐๐.
โ๏ธKabla ya Mgogoro wa chini kwa chini kati ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Uongozi ya Nyasa-Chadema Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo wa sasa Ndugu Osmund Mbilinyi (Sugu) kutatuliwa,kumeibuka mgogoro mpya ndani ya Kanda ya Magharibi.
Mwenyekiti wa Chadema hicho Mkoa wa Kigoma Ndugu Rajabu Mfaume Bujoro ameibuka na shutuma nzito dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi,Wakili,Dickson Matata.
Mwenyekiti wa Kanda hiyo Wakili Msomi Dickson Matata ambaye alikuwa upande wa Mwenyekiti Freeman Elikael Mbowe wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho wa mwaka 2025,anatajwa KUWABEBA na kuwapa VYEO kwa upendeleo wanachama ambao walimuunga mkono Freeman Mbowe pekee huko AKIWATEMA wafuasi wa Tundu Lissu ambaye ndie Mwenyekiti Taifa,akiwemo Rajabu Mfaume Bujoro mwenyewe.
Shutuma hizo zinakuja wakati ambao Viongozi mbalimbali wa Chadema Mikoani na Wilaya wamekuwa wakijitokeza kila siku kumshinikiza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu John Heche kujiuzuru kupisha Uchunguzi huru wa shutuma za matumizi mabaya ya fedha za Chama hicho.
Uwepo wa makundi hayo mawili takribani mwaka na miezi kadhaa sasa,unapelekea wananchi kujiuliza kama kweli Chadema ni Chama cha Kidemokrasia kama ambavyo wamekuwa wakisema.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamehoji uwezo wa Makamu Mwenyekiti John Heche kushindwa kuunganisha Chama hicho kabla ya kwenda kwenye AJENDA za kuishinikiza Chama cha Mapinduzi kutekeleza MARIDHIANO.
Wakili Dickson Matata anatajwa na TIMU Lissu akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Rajabu Bujoro kuwa anaweza kuwa chanzo cha kuvuruga umoja na mshikamano ndani ya Kanda hiyo.
Mpasuko mwingine wa chini chini unaendelea ndani ya Kanda ya Kati baada ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo KUMSIMAMISHA Uanachama Katibu wa Chadema Mkoa wa Morogoro na baadae Katibu Mkuu wa Chadema Taifa Ndugu John Mnyika kumrudisha Katibu huyo kwenye nafasi yake.
Hatua hiyo imezua mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo na Katibu Mkoa wa Morogoro kiasi kwamba Katibu huyo kupokea BARUA mpya kutoka Kanda ya Kati Ikimtaka AJIELEZE hata baada ya Katibu Mkuu Taifa kumrudisha Ofisini.
Chanzo kikuu cha KUVIZIANA huko ndani ya Kanda hizo Kuu tatu kunatajwa ni UWEPO wa Makundi,Upendeleo na Kujuana kutokana na makundi ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho 2025.
Wananchi wamehoji na kuwa na mashaka kama kweli Chadema wanaweza KUSIMAMIA mambo makubwa ya Kitaifa/Nchi kama hata mambo yao ya ndani ya Chama wanashindwa kuyamaliza.
Mpasuko huu wa ndani ya Kanda KUU TATU muhimu unakiacha Chama hicho kwenye SINTOFAHAMU kubwa juu ya uwezo wa UONGOZI wake wa kuweza kuunganisha wananchama wao kabla ya kutaka kuwaunganisha Watanzania kupigania KATIBA MPYA.
Shutuma hizi zinaibuka katikati ya shutuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyekiti NduguJohn Heche kuhusu matumizi mabaya ya Fedha za michango kutoka kwa WADAU.
HII NDIO CCM BWANA, WAKALI WA HIZI KAZI
Katika siasa, kuna vyama ambavyo mabadiliko yanapokuja huleta sintofahamu, lakini pia kuna vyama vinavyoyaona mabadiliko kama fursa ya kujijenga upya na kujiandaa kwa hatua inayofuata.
Uamuzi wa CCM wa kuipangilia upya Sekretarieti yake unaonyesha wazi kuwa chama hiki kinaendelea kusoma mahitaji ya wakati, kuendana na mabadiliko ya dunia na kujenga kizazi kipya cha viongozi huku kikihifadhi hazina ya uzoefu wa miaka mingi.
Katika muundo huu mpya, kila jina limebeba ujumbe maalum wa mwelekeo wa chama.
Katika nafasi ya juu ya utendaji, Dkt. Asha-Rose Migiro anakuja na uzoefu mkubwa wa kitaifa na kimataifa. Rekodi yake ya muda mrefu katika utumishi wa umma, diplomasia na uongozi ndani ya chama inampa nafasi ya kuleta utulivu, weledi na usimamizi imara wa shughuli za chama.
Kwa upande wa Tanzania Bara, nafasi ya Naibu Katibu Mkuu imekabidhiwa Aggrey Mwanri, kiungo bamia, kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na historia ya uchapakazi. Uwepo wake unalenga kuongeza nguvu, nidhamu na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya chama kote nchini.
kwa upande wa Naibu Zanzibar CCM imeonyesha jinsi inavyoamini katika kukuza viongozi vijana. Kutoka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar hadi kuwa sehemu ya uongozi wa juu wa chama kwa Ndg. Abdi Mohamed, ni ishara kwamba vijana wana nafasi ya kukua, kuaminiwa na kupewa majukumu makubwa ndani ya mfumo wa chama.
Katika eneo la Itikadi na Uenezi, Kenani Kihongosi anaendelea kuwa sauti muhimu ya chama. Akiwa amekulia ndani ya mfumo wa CCM tangu ngazi za Umoja wa Vijana, ameendelea kujenga uzoefu katika masuala ya sera, uongozi na mawasiliano ya kisiasa, na itikadi anaieneza kweli kweli.
Kwa upande wa Oganaizesheni, uzoefu wa kijeshi na nidhamu ya Paul Matiko Chacha unakwenda kuongeza nguvu katika kuhakikisha shughuli za chama zinapangwa kwa umakini, zinaendeshwa kwa ufanisi na kufikia malengo yaliyowekwa.
Kwenye eneo la Mahusiano ya Kimataifa, Rabia Mwita anaendelea na jukumu la kuimarisha ushirikiano wa CCM na vyama rafiki duniani, huku akiendeleza diplomasia ya chama kwa maslahi mapana ya Taifa.
Katika eneo la Uchumi, CCM imefungua ukurasa mpya kwa kumpa nafasi Jamal Kassim, kijana mwenye taaluma ya uchumi, ili kuleta mtazamo wa kisasa katika masuala ya fedha na uchumi wa chama.
Kwa ujumla, kwenye sekretarieti hii chama kimeleta mchanganyiko wa uzoefu, ujana, taaluma na uaminifu kwa misingi ya chama.
Ni kizazi cha viongozi wa jana kinachoshirikiana na kizazi kipya kwa lengo moja , kuifanya CCM iendelee kuwa imara, yenye uwezo wa kukabiliana na changamoto mpya na kubaki karibu na wananchi.
Hii ndiyo CCM, ukipenda waite baba lao. Chama kinachobadilika bila kupoteza misingi yake, kinachokua bila kusahau historia yake, na kinachojiandaa kwa kesho kwa kutumia nguvu ya leo.
Sasa ni wakati wa kushuhudia kasi ya ajabu, ubunifu na matokeo kutoka kwa timu hii mpya.

@ProsperMasau Hakuna cha kubana na kuachia. Jeshi la Polisi limefanya kazi na kujiridhisha kuwa hatari iliyokuwepo haipo kwa kipindi hiki; wanajua mengi zaidi yetu. Siku zote taasisi za dola hutambua, kuzuia na kushughulikia vitisho hivyo kwa mujibu wa sheria. Usalama ni kwa wote, sio siasa!

Dada, unanipa jukumu kubwa sana. ๐
Kwa kawaida, nchi inapohama kutoka Katiba ya zamani kwenda Katiba Mpya huwa kuna kifungu kinachoitwa transition rules (masharti ya mpito) au transitional provisions. Hivi ndivyo vifungu vinavyoelekeza namna ya kuhama kutoka mfumo wa zamani kwenda mfumo mpya bila kuleta mkanganyiko wa kisheria.
Ndani ya masharti hayo ya mpito ndipo huamuliwa mambo mbalimbali, ikiwemo swali la kama Rais ambaye tayari amefikia kikomo cha mihula chini ya Katiba ya zamani anaweza au hawezi kugombea tena chini ya Katiba Mpya.
Kwa mfano, kwenye Katiba ya Kenya ya mwaka 2010, masharti ya mpito yalielekeza kwamba mtu ambaye tayari alikuwa amehudumu mihula miwili ya urais hangeweza kugombea tena katika uchaguzi wa mwaka 2013 chini ya Katiba mpya. Kwa hiyo, Katiba mpya haikuanzisha upya hesabu ya mihula kwa waliokuwa tayari wameifikia.
Hata hivyo, kuna nchi nyingine ambazo masharti yao ya mpito yaliruhusu kile kinachoitwa reset ya kikomo cha mihula. Maana yake ni kwamba mihula iliyohudumiwa chini ya Katiba ya zamani haikuhesabiwa tena, hivyo Rais aliyekuwa amefikia kikomo aliruhusiwa kugombea upya chini ya Katiba mpya, kwa mantiki ya "tunaanza upya." Mifano ya nchi zilizowahi kufanya hivyo ni pamoja na Urusi, Cรดte d'Ivoire (Ivory Coast), Uturuki, Bolivia na nyingine kadhaa.
Kwa hiyo, jibu halipo kwenye dhana ya kuwa ni Katiba Mpya pekee, bali lipo kwenye masharti ya mpito yaliyowekwa ndani ya Katiba hiyo. Kisheria, lolote linaweza kutokea kulingana na namna masharti hayo yatakavyoandikwa.
Pia ni muhimu kutofautisha kati ya Katiba Mpya na marekebisho ya Katiba (constitutional amendment). Katiba Mpya huanzisha mfumo mpya wa kikatiba na kwa kawaida huambatana na masharti ya mpito yanayoelekeza jinsi ya kuhama kutoka mfumo wa zamani. Marekebisho ya Katiba, kwa upande mwingine, hubadilisha vifungu vya Katiba iliyopo bila kuanzisha mfumo mpya kabisa. Ndiyo maana athari zake, ikiwemo suala la ukomo wa mihula, zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kila nchi.
Kwa hiyo kwenye Katiba Mpya tusishangae waheshimiwa Jakaya Kikwete na Samia Suluhu Hassan wakawa na haki ya kikatiba ya kugombea upya Urais kuanza muhula wa kwanza chini ya Katiba Mpya๐.
PAUL MATIKO CHACHA: NGUVU MPYA KWENYE IDARA YA ORGANIZATION CCM
Katika historia ya uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nafasi ya Idara ya Organization imekuwa nguzo muhimu katika kujenga uimara wa chama, kusimamia mifumo ya uendeshaji na kuhakikisha maamuzi ya vikao yanatekelezwa kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi taifa.
Ni katika muktadha huo ambapo jina la Paul Matiko Chacha limeingia katika ukurasa mpya wa safari yake ya uongozi baada ya kuteuliwa kuwa Katibu wa Idara ya Organization ya CCM.
Uteuzi huu unakuja katika kipindi ambacho chama kinaendelea kuimarisha mifumo yake ya ndani, kusimamia nidhamu ya wanachama, kuimarisha uhai wa matawi na mashina, pamoja na kuhakikisha taasisi ya chama inafanya kazi kwa kuzingatia Katiba, Kanuni na maamuzi ya vikao halali.
Idara ya Organization ni moyo wa uendeshaji wa chama. Ni kitengo kinachobeba jukumu la kuratibu masuala ya uongozi wa ndani, ujenzi wa chama kuanzia ngazi ya msingi, usimamizi wa taratibu za uchaguzi ndani ya chama na kuhakikisha muundo wa chama unabaki imara na wenye ufanisi.
Kwa Paul Matiko Chacha, jukumu hili jipya linahitaji uzoefu, umakini na uwezo wa kuunganisha wanachama katika ngazi mbalimbali.
Katika nafasi hii, anatarajiwa kusaidia kusukuma mbele agenda ya kujenga chama chenye nidhamu, mshikamano na utendaji unaozingatia misingi yake.
Uongozi wa chama si suala la kauli pekee, bali ni utekelezaji wa maamuzi, kusikiliza wanachama na kuhakikisha kila ngazi ya chama inafanya kazi kwa uwajibikaji.
Ndani ya CCM, Katibu wa Idara ya Organization ana jukumu kubwa la kuhakikisha mifumo ya chama inafanya kazi kwa ufanisi, viongozi wanazingatia taratibu na wanachama wanapata mwelekeo sahihi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Uteuzi wa Paul Matiko Chacha unaonekana kuwa sehemu ya juhudi za chama kuendelea kuimarisha safu zake za uongozi na kuongeza nguvu katika usimamizi wa masuala ya ndani ya chama.
Ni jukumu linalokuja na matarajio makubwa.
Kutoka kusimamia mifumo ya ndani ya chama, kuimarisha uhai wa matawi na mashina, hadi kuhakikisha maamuzi ya vikao yanatekelezwa kwa wakati, nafasi hii inahitaji uongozi wenye maono na dhamira ya kujenga taasisi imara ndio maana haishangazi kutokea jina la Paul Matiko Chacha
Kwa Paul Matiko Chacha, hii ni hatua mpya ya uwajibikaji ndani ya safari yake ya uongozi.
Ni nafasi ya kuonyesha uwezo wa kuunganisha, kusimamia na kuimarisha nguzo muhimu ya chama. Na katika msingi wa kazi ya Organization, ujumbe unabaki kuwa mmoja: Paul Matiko Chacha ni mtu sahihi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Chuo cha siasa na uongozi.
Uamuzi wa CCM wa kuipangilia upya Sekretarieti yake unaonyesha wazi kuwa chama hiki kinaendelea kusoma mahitaji ya wakati, kuendana na mabadiliko ya dunia na kujenga kizazi kipya cha viongozi huku kikihifadhi hazina ya uzoefu wa miaka mingi.
#KazinaUtu #TunasongaMbele
๐๐๐๐ ๐ก๐๐๐ข ๐๐๐ ๐๐ช๐๐ก๐, ๐ช๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐๐ญ๐ ๐๐๐ญ๐.
โ๏ธKatika siasa, kuna vyama ambavyo mabadiliko yanapokuja huleta sintofahamu, lakini pia kuna vyama vinavyoyaona mabadiliko kama fursa ya kujijenga upya na kujiandaa kwa hatua inayofuata.