@MwanzoTvPlus Wakenya wamenyooka sana hakuna unafiki kama bongo,,,,, nawaza juu ya akina Chande kufanya jambo kama hilo !!!!!!!!!!!π€π€π€π€π€
@godbless_lema Haya masaliti kuweni nayo makini kama kweli mnataka chama kilete mabadiliko. Mabadiliko yanaletwa na watu wenye msimamo sio vinyonga kama akina Mdee.
@chapanombombwi Sina imani nae. Kam alienda ccm kwa makubaliano na Chadema ili aisaidie chadema akiwa nje ya chama apo sawa,,, lakin kam alienda kivyake basi huyu ni nyoka mbaya sana kwa Chadema.
@mshambuliaji Habari za kuandikwa na @mshambuliaji siwez kuziamini kwa sasa. Unaweza kuta @Msigwa ndo kamwambia aandike na yeye akaandika. Ngoja niitafute hii habar kwenye vyanzo vingine kwanza.