Kuanzia leo, Novemba 2, 2026, Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 kupitia mfumo wa UPR (Universal Periodic Review). Katika ratiba hiyo, Tanzania itatathminiwa siku ya Alhamisi, Novemba 5, kuanzia saa 8:30 mchana hadi saa 12:00 jioni (14:30 – 18:00).
https://t.co/qbBF2MbQmv
Amesema DINI ya kiislimu ndio inatoa miongozo ya kuua waandamanaji
Na kwamba kama ingekua nchi za kiislamu wangeuwawa wengi zaidi ndio maana hakuna maandamano kwenye hizo nchi
SWALI : Ukimya wa masheikhe nchi nzima una maana hii kauli ya Mwaipopo ni sahihi kuhusu DINI ya kiislamu na mauaji ya waandamanaji ? Mwaipopo anaongea kama sheikh kwenye kivuli cha uislamu
Mwaipopo amesema kwamba maamuzi ya Samia yalisukumwa na DINI yake sio Katiba wala sheria za TANZANIA, alichofuata Samia ni msimamo unatoka na dini yake
Mpaka sasa hakuna maelezo yoyote kutoka CCM wala mtumishi yoyote wa UMMA kueleza kwamba msimamo wao wa mauaji ni kutokana na DINI
Mwisho, Mwaipopo ambaye amekuwa anatumika sana na Abdul amekiri Polisi walitumwa kuua watu sababu wameandamana, ile story kwamba ni fujo ni ya kubambika, ila mauaji ni kutokana na kwamba nchi za kiislamu hakuna maandamano
Ina maana Samia ameifanya Tanzania ni nchi ya kiislamu na anauwa watu kwa sababu hizo
@Chahali Kaka @Benji_Fernandes kwaheshima tu naomba umshauri mzee apumzike, awaache wa Tanganyika waomboleze kwa namna wajuavyo mpaka mioyo yao ipoe na haki yao ipatikane
Ukiwa mlevi au mjinga, utamlaumu konda na kusahau kuwa hii ni biashara yake.
Kama ambavyo wewe hauwezi kutoa mchele wa bure dukani kwako, ndivyo ilivyo kwa biashara ya usafirishaji.
Ukiwa na akili timamu utalaumu watu uliowaweka madarakani.
Wakati kwenye nchi za wenzetu serikali zinanunua na kuoperate mabasi ya shule kuhakikisha watoto wanafika mashuleni na kurudi nyumbani kwa wakati, viongozi wa Tanzania wanatumia trillion moja kugharamia safari zao za anasa.
Pesa ya mabasi ya shule ndio hiyo wanatumbua nayo starehe; ndio yale mabilioni wanauolipa wabunge; ndio yale mabilioni ya kukimbiza mwenge, and the list goes on and on.
Kazi ya viongozi ni kurahisisha maisha ya wananchi, sio kuwa kikwazo cha maendeleo.
@Nnauye_Nape bila sababu ya msingi ulitukosesha fursa ya mtandao wenye kasi na nafuu wa Starlink kwa visingizio vingi vya urasimu, huku wananchi tukiendelea kuumia na bando ghali na mtandao unaosua sua.