President @KagutaMuseveni has vowed not to allow criminals to disrupt the peace of Ugandans, particularly those who have resorted to killing people using machetes.
@SsewajjeF#NBSLiveAt9#NBSUpdates
Pamoja na Uhuni wote huo ila leo PAUL MAKONDA bado ni kada wa ccm na ni Waziri wa Michezo.
Mtu anawezafanya Uhalifu wa aina yeyote ile hapa #Tanzania ila akiwa ccm tu anakuwa Untouchable. 👇
Huyu ndo Jaji Fahamu Hamidu Mtulya ambaye ni mwenyekiti wa muda wa Kamati ya Maadili ya Mawakili waliopanga kuendelea na kikao cha kumvua uwakili Mwabukusi ingawa kuna zuio la mahakama
Amepokea maagizo ya Kimama na mwanaye Abduli na yuko in contempt of
Court! Huyu eti naye ni Jaji 🧐
Hebu leteni faili lake huyu tumsasambue
Tusiogope bali TUPAMBANE 👊🏽
Bila kukaa kinyonge au kwa kulia - push back dhidi ya UOVU
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
#MO29 #TunatokaTena
"Jeuri ya ukoloni, ya utumwa, ya ujahili, ni hiyo ya kufanya kwamba binadamu wengine ama ni miungu, ama kuwafanya binadamu wengine kuwa ni wanyama. Na jeuri ya namna hiyo, inazidi jeuri nyingine yoyote duniani. Inapotokea, akili ya binadamu aliyekomaa inakataa; inakataa kabisa kukubali. Kwa hiyo lazima mpambane nayo jeuri hiyo popote inapotokea," Nyerere | Disemba 09, 1978
Tujikumbushe Baba wa Taifa akielezea utawala wa Sheria na ushiriki wa umma ( public Participation) kama kigezo kimojawapo muhimu cha demokrasia. Hii yote ni misingi ya katiba yetu @Advocate_Jebra
profesa mussa assad, mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (2014 - 2019): “watu wengi katika serikali wamekuwa wakiishi katika namna ambayo kuna usiri mkubwa katika mambo yao, na hakuna anayetaka mambo yawe wazi.”
🎥: @adaboe_12:
Dully na Mapete wangejua tunapotoa taarifa zao za ndani wangekuwa wanajichoma mapaja na bisibisi kila siku! 😂
Wahenga wanasema: Kikulacho kinguoni mwako!
Uzuri ni wajinga sana - Mungu anatupenda!
Tutashinda!
#SamiaMustGo