@amsamsilver@HildaNewton21@lifeofmshaba Waambie ukweli hao. Ukikosa moyo wa kaba utazidi kujibomoa. Mambo mengine ni ya chini ya uvungu. Mtakiharibu chama. Leo huyu mbaya,kesho na keshokutwa watashukiwa wengine. Kuweka mambo hadharani mnakaribisha maadui wazidi kuwavuruga.
@Babadancila @Sukayotz Siyo Kwa Kila mtu. Wengine zinawaathiri haraka sana, wengine tatizo linakitengeneza taratibu. Siku likikomaa ndiyo Ile ghafla bin vuuuu.
@Labella_Mafia95 Kwenye kilele cha mafanikio ndipo wivu, chuki na husda hupamba moto, hasa Kwa watu wa karibu yako. Watu hawaangalii unakotafitia wanaangalia unakotumia. Huko ndiko watu wengi wanakopata maumivu ya nafsi.
@YUSUPHMARCOGAGA@HildaNewton21 Tujiulize, uoga unatokana na nini?. Jibu ni wote tunaogopa vitisho.Hakuna anayeamua kukubali kufa kwa faida ya wengine.Tunaongea sana kuliko vitendo.Wachache wamevaa ujasiri.Mkitishwa kidogo tu mnayeyuka.Adui kishajua udhaifu wenu.Ukweli mchungu.
@YUSUPHMARCOGAGA@HildaNewton21 Hata hao 55 wasipojitokeza itakuwa ni kazi bure tu.Tatizo lipo kwenye https://t.co/Nk2ceXWUjz hakuna mtawala anayekubali kukaa kando kirahisi.Ndiyo maana nchi nyingine uhuru umekuja kwa kumwaga damu.Wa Tz ni waongeaji tu ila ni waoga sana.