@SimbaSCFansPage Nazidi kushangaa kwa mpenda soka yoyote ambaye anaona jambo hili ni sawa achilia mbali u_simba na u_yanga tuliokua nao,watu tulitenga mda kwajili yakuangalia burudani ya soka lakini mkaharibu mambo
@shaffihdauda1 Tokaaaaa buanaa SIMBA NA YANGA always ni watani hebu waanze kupima akili na wachambuzi wasio jielewa hata kwa akili yako yakawaida yanga angewakuta simba mdo wangecheza hapo Mo arena🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮