@mangekimambi Funny stuffs, imagine nchi yenye maziwa makuu matatu, bahari na mito and we are just folded with this stupidity, whats the actual focus kwenye hii nchi wallahi 🤔
Kwamba mtu kama. Huyu anatekwa kwa kutoa Elimu kama hii kwa Watanzania wenzake… Alafu waizi na majambazi wanawalipa 2,000 walizowaibia wanawabeba kwenye malori kwenda kuwashangilia!!! Mko sawa?
Mnataka Taifa la aina gani? La watu wasio na akili kabisa!