@Thekeksociety The greatest call God has ever made, is to love one another. through love, the world is a better place, But we love ourselves more, no need for others. It's ME first.
@MarekaMalili Kwa hiyo, hiyo kweli unaijua? Changamoto ipo hapo! Ukijua utafanya, na Wala hutalazimishwa. Mt 13:25, Anza kujua magugu ni yapi ndani Yako na Ngano ni ipi na nani mhusika aliyepanda, na unachagua lipi? Vyote vipo ndani Yako.
@innocent_m37729@EduTalkTz Imani inafunga uwezo wa kutafakari. Kumbadilisha, mlazimishe kutafakari, Uliza maswali ambayo atatakiwa kujijibu mwenyewe, halafu achana nae apambane na Hali yake. Kitaalamu inaitwa cognitive dissonance.
@OrevaZSN Easter is based on the moon phase, It's a pagan festival that was inserted in Christianity, It's a festival for goddess Ishtar, a fertility goddess,
@EduTalkTz Ukweli Ukichunguzwa utabaki kuwa ukweli, hata ukiukosoa utabaki kuwa kweli hata ukipinga utabaki kuwa kweli! Swali, Je kuwa na imani ni sawa ukweli!
@EduTalkTz "One with eyes, let them see and those with ears, hear" Yesu aliupenda sana kusema maneno kama haya. Sahvi nimeelewa ni Kwa sababu gani! Huwezi mwambia mtu aone ama asikiye ambaye hayupo tayari kufanya hivyo. Basi kama mnamajibu ya maswali pambana na hizo hoja! Na Sio vitisho!
@EduTalkTz@NamdiAzikiwe Swali gumu sana hili, Ila tabia ya Mungu kwenye Agano la kale ni tofauti na Agano jipya, na wokovu Yesu anauzungumzia ni tofauti na Paulo anavyosema. Lakini tunaambiwa Mungu ni yule yule jana na leo. But is it so?
@tonymaster01 Huu ni uongo, Futa maana Kuna watu watatumia kama ushahidi na vitu vya kale na kuwapotosha zaidi kwenye Imani zao na wakati wanatakiwa kujifunza kupepeta ngano ya kweli magugu yaliyopanda na adui.
@KennedyMmari Truth doesn’t imprison—belief does.
Systems defend themselves by calling deviation “madness.”
But beliefs aren’t facts.
“The truth will set you free” only matters
if we dare ask what truth is.
@FeelYouHappy It seems we can no longer play with our kids due to the Epstein file. Everything will seem to be Epstein copycat activity. Give your daughter a lifetime of happy memories, Remember not to post them. For your sanity and your daughter, the world ain't ready.
@TweseSafarisUg @kayvo_sparrow He said it's Ai generated, I guess AI is the corner we all will be hiding if we make similar mistakes. Hail Mary AI the mother of all to grace us with a lifetime of excuses rather than face our demons.
@EliabuDanford Sorry the bible didn't say that, In Gen 6:5,13, and 17 shows that God had already made up his mind killing everything. Where is it written he preached repentance, and it's the same with Sodom and Gomorrah.