@fintanjr_ Hio Kwa wewe ambae unatoka kuuza sabuni....kuna kijana kasoma elimu mbov ya nchi hii hata kutengeneza komeo ya mlango hawezi na ajira Hana yaan Hana Cha kupoteza!
@Wolfman_Tz Kuna demu alinikataaga akadaiwa deni la wiki, huku kafulia kaja Sasa nimuazime hela afungue simu yake sikutaka mambo mengi nkamwambie tu kubali kwanza ombi langu.....Imeisha!!
@barakawamb Hili Kweli Wala halina ubishi,, kuna mijitu imetoka chadema wakapewa wilaya huku matawini kuna watu wanamiaka 20 hata tarafa hawapati,,ndio maana you can't guarantee wanachama wa ccm na mapenzi Kwa chama chao!!!
@Innocen89950594 Watakulia kama unamuacha aende kazini na nyege zake, maboss wengi wanaleta u boss mpaka kwenye mapenzi mke anahitaji kufumulia tu sio kupika au kufua !!