Vijana mjaribu sana kukuwa na hawa warembo wanapenda kusoma novels sio hao wa kuchezesha haga tiktok kila saa.Kama huyu wangu wa saa hii ameanza kuniita some crazy names, mara mimi ni naysayer, clumsy, narcissist, pathetic liar
Napita huku kando ya barabara and a woman in a harrier drives straight into a ditch. Many are claiming that it is careless driving but l blame Mwongela the barber for the sharp hair cut he gave me.