@donchikurubi@FKihamu Alipokuwa kwao Ethiopia alikuwa mtu sana tatzo kaenda mamelod amekuwa pancha sana na mshahara unaeza kuwa kikwazo ila kwangu mm n top striker an target man🙌🏻🔥
@FKihamu Youssouf Fofana
Yupo aggressive sana tunataka mtu km huyu pale midfielder yetu acheze chini ya mainoo
Na pesa ya kumsajil n kichele sana
Wanangu wa GGMU 😂❤️