ARUSHA: Wananchi wa Mtaa wa Engosowashi, Kata ya Moshono, wamemtaka Mwenyekiti wa Mtaa huo, Richard Meshaki Laizer kutojiuzulu kama ambavyo Juni 7, 2026, alitoa taarifa kwa njia ya barua aliyoisoma yeye mwenyewe.
Alidai maelekezo ya Machi 2026 yaliyowazuia Wenyeviti wa Mitaa kumiliki mihuri na kuelekeza huduma nyingi kufanywa na Watendaji, yamepunguza uwezo wa viongozi waliochaguliwa kushughulikia kero za Wananchi.
Mdau, una maoni gani?
Shiriki kwenye mjadala https://t.co/UuYQRuS7AU
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFDemokrasia #Utawala
@JabirSaleh K.R mwamba niwakitambo sana sio kwenye game tu hata kiumri pia π«‘ mwamba mara ya kwanza kumuona ilikua 2017 mton sabasaba akikiwasha uwanja wa mpiraa mwamba anacheza boli balaa ni mbape mtupu kasoro ndevuπ