@godbless_lema Watanzania wanataka maendeleo ila hawataki kulipa gharama ya maendeleo. Watu wanataka barabara zipanuliwe ila ni mabingwa wa kuminya barabara kwa majengo, wanataka majiji safi ila wanataka pia waruhusiwe kupanga biashara popote.
@MarekaMalili Hivi kwa ndugu zetu waislmau naomba kujua hawana Chain ya uongozi kwamba nani anaweza kuotisha press? wakati gani na aseme nini? Yani kila mtu anaweza kuongea anachotaka na akawakilisha taasisi ya ISLAMIC kama ivo? Je hawa wanabaraka zote za waisalam na mabaraza yao?
@Sativa255 Binafsi naunga mkono maridhiano na wawakilishi wetu wawe
-Mzee Kibao
-Soka
-Mdude
-Ben Saa Nane
-Azory
-Chaula
-PolePole
Na yafanyike live tuwe tunawatazama!!
Kinyume na hapo HATUTAKI MARIDHIANO!!