They won the Premier League after 22 years and even BBC made an article yesterday showcasing all of the fraudulent decisions that went their way.
They tried to cheat their way to their first ever Champions League in their existence and it was one of their most cockiest players that fucked it all up.
I love this game.
Sheikh Alhad: Tunaitaka Serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja
“Uwepo wetu ni kelelezo tosha kwamba yanayosemwa na Maseneta hao ni uzushi, na ni kitu ambacho hakikubaliki, na ni uchochezi wa waziwazi. Kwa hiyo tungeitaka Serikali ya Marekani mara moja iwakemee Maseneta hao, na ikanushe wazi wazi kwamba kauli hiyo itabaki kuwa ni kauli yao binafsi. Ambayo kwetu sisi kama Watanzania imetuumiza sana, kwa sababu umoja tuliyo nao, na mapenzi tuliyo nayo kama Watanzania ni mkubwa," amesema Sheikh Mussa Salum ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT).