@zittokabwe@MtuAsili Kama hujari maisha ya wengine! hujari chochote( uongozi ni kubeba ya wengine na kuyatafutia ufumbuzi hata kama uongozi wako utakuwa upo hatarini)π
@EduTalkTz@freemanmbowetz@ChademaTz Sijawahi kuamini kama FAM ni mpinzani zaidi ya miaka kumi na sitakaa niamini ,Tz kuna wapinzani ila ni wachache sana kuliko tunavodhani! TL SI Mpinzani ni Mtu mwenye kupenda haki! hapendi watu waonewe hapo ndo upinzani wake unaibuka!
@YerickoNyerereT ππDuuh Siasa ya kinafiki hii! Hii ndo shida ya kuwa mkalimani wa vitabu! ukisaidiwa na mfumo, unaacha kutumia ubongo kupambanua mambo!
@eastafricatv Maneno bila maandishi ni propaganda za kumchafua mtu tu! sema jamaa aliona tuna upinzani ambao kwa mgongo wa nyuma ni CCM, Kwa nini muendelee kupata pesa kwamgongo huo tu! si bora tuwe pamoja tujenge nchi kwa umoja!
@MgallahYeto@YerickoNyerereT Wote chama kimoja tu, sema wengine wanatumikia chama kwa mgongo wa upinzani ila chama ni kimoja akitokea mpinzani wa kweli hapo ndo unaanza kuona uhalisia wa mambo