Kila mahojiano ya Hassan Mwakinyo huwa kuna shule kubwa sana inapigwa kutokana na majibu yake. Ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao wamejaaliwa uelewa wa vitu na uwezo mkubwa sana wa kuwasilisha fikra zao.
Kuna utulivu mwingi hukujia ukianza kuwaruhusu watu kuishi maisha yao. Kuna utoshelevu mkubwa katika kuwaruhusu watu kujivunia wanachofanya. Kuna ukomavu mkubwa wa kihisia huambatana na kuwaruhusu watu kutofautiana na wewe. Kujifunza kwingi husubiri uwaruhusu watu kujua usichojua na kuamini usichoamini. Utu uzima huambatana na kuwaruhusu watu kufikiri bila kulazimika kuafikiana na wewe.
Marekani (USA) itacheza dhidi ya Paraguay katika uwanja wa SoFi Stadium.
Huu ndio uwanja uliogharimu fedha nyingi zaidi kujengwa duniani, ukiwa na gharama ya takribani dola bilioni 5.5 za Marekani.
Uwanja huu unamilikiwa na Kroenke family, ambao pia ndio wamiliki wa klabu ya Arsenal.
Leo naomba mnipe grace ya kusema jambo ambalo nilitaka kusema siku nyingi sana kuhusu hali ya maendeleo. Katika mjadala wa maendeleo ya Tanzania, kuna haja ya kuangalia kwa kina sababu zinazopelekea baadhi ya changamoto kujirudia mara kwa mara. Si suala la kulaumu watu binafsi, bali kuelewa mfumo unaozalisha matokeo haya.
Moja ya dhana muhimu kuelezea hali hii ni exposure gap.
Exposure gap ni pengo la uzoefu na uelewa wa mifumo bora ya maendeleo. Ni tofauti kati ya mtu aliyewahi kuona “what works” katika mazingira mengine na yule ambaye maamuzi yake yanategemea tu kile alichokizoea.
Tukianza na mifano ya ndani, tunaona changamoto katika utekelezaji wa miundombinu. Barabara zinajengwa bila pedestrian walkways, bila proper drainage systems. Mvua moja kubwa tu inatosha kuharibu barabara mpya, na kuanzisha cycle ya maintenance. Suala hili siyo la rasilimali, ni suala la design thinking na long-term planning.
Mfumo huo huo unaonekana kwenye urban planning. Tunajenga miji bila city parks, bila green spaces, bila walkability. Tunakata miti kuweka mabango. Tuna-install street lights lakini hakuna maintenance framework, ndani ya miezi michache zinakufa, na miji inaingia gizani tena. Haya yote yanaashiria tatizo la kimfumo, si matukio ya bahati mbaya.
Swali ni: kwa nini maamuzi haya yanafanyika kwa namna hii?
Jibu moja lenye uzito ni exposure gap katika ngazi za maamuzi.
Historia ya Tanzania inatoa ushahidi tofauti. Chini ya uongozi wa Julius Nyerere, kulikuwa na msukumo mkubwa wa kujenga taasisi za muda mrefu. Mfano vituo atamizi vya utafiti wa kilimo, mashamba ya mfano, na taasisi za elimu vilianzishwa kwa maono ya kimkakati. Hii haikutokea kwa bahati mbaya. Ilitokana na uelewa mpana wa mifumo ya maendeleo uliotokana na exposure ya nje na fikra za kujenga taifa.
Ndiyo maana hadi leo, baadhi ya agricultural research institutions zilizoanzishwa decades ago bado zina mchango halisi. Walikuwa wanafikiria systems, si projects.
Ukiangalia mifano ya nje, nchi kama Singapore chini ya Lee Kuan Yew ilifanya deliberate effort ya kufunga exposure gap. Walituma watu kujifunza, wali-import ideas, na waka-adapt kwa mazingira yao. Matokeo yake ilikuwa transformation ya haraka na yenye uelekeo.
Kwa upande wa Rwanda, tunaona mfano wa karibuni ambapo uongozi imeweka mkazo kwenye execution, accountability, na benchmarking dhidi ya global standards. Hii pia ni njia ya kufunga exposure gap.
Sasa turudi nyumbani. Ikiwa decision-makers wengi hawana exposure ya kutosha ya “what good looks like,” basi wanachofanya ni ku-optimize ndani ya mfumo ule ule walioukuta. Hawavunji mipaka ya fikra, wanarudia patterns zile zile.
Hapo ndipo unapata mismatch kubwa:
- Kiongozi wa utalii ambaye siyo mtalii
- Kiongozi wa innovation ambaye siyo innovator
- Kiongozi wa biashara ambaye hajawahi kujenga biashara halisi
- Kiongozi wa kilimo ambaye hana practical agricultural experience
Hii siyo hoja ya kushambulia watu, ni suala la systems design. Kwa sababu mwisho wa siku, policy quality inategemea understanding depth ya anayefanya maamuzi.
Technocrats wanaweza kuwa na uwezo na maono, lakini kama decision-makers hawana exposure ya kuelewa uzito wa mapendekezo yao, basi implementation inakwama au inakuwa diluted.
Tatizo linakuwa kubwa zaidi pale ambapo hii exposure gap si ya mtu mmoja, bali ya mfumo mzima. Ikiwa ndani ya mfumo kuna watu 100 na labda 10 tu wana exposure ya kutosha kufanya high-quality decisions, basi automatically kuna internal resistance. Kwa nini? Kwa sababu business as usual works for the majority. Mfumo unajilinda wenyewe dhidi ya mabadiliko.
Hapo ndipo tunapaswa kubadilisha mjadala. Sio kusema nani anakosea, bali:
- Tunafungaje exposure gap katika leadership?
- Tunajengaje mfumo unaolazimisha benchmarking dhidi ya global standards?
- Tunahakikisha vipi kuwa decision-makers wanaelewa “what excellence looks like”?
Bila kushughulikia exposure gap, tutazidi kurudia duara lilelile la maamuzi ya muda mfupi yanayozalisha matatizo ya muda mrefu.
Kids want more dad time. Wife wants more husband time. Parents want more son time. Work wants more of your time. And you still show up. Shoutout to the men doing it all. 🙌
MAMBO 10 YA KUFANYA SIKU YAKO YA KUZALIWA.
Siku ya kuzaliwa si sherehe tu. Ni mzunguko mpya wa maisha, point ya tathmini, uamuzi, na uwekaji wa mwelekeo. Haya ni mambo 10 ya kufanya ili siku hiyo iwe na uzito wa kiroho, kihisia, na kimkakati.
THREAD 🧵
Best in The World:⤵️
1. 🇸🇬 Best Education → Singapore
2. 🇨🇭 Best Innovation → Switzerland
3. 🇮🇹 Best Food → Italy
4. 🇮🇸 Best Safety → Iceland
5. 🇹🇼 Best Healthcare → Taiwan
6. 🇨🇭 Best Quality of Life → Switzerland
7. 🇳🇱 Best Work-Life Balance → Netherlands
8. 🇸🇬 Best Public Transport → Singapore
9. 🇸🇬 Best Internet Speed → Singapore
10. 🇺🇸 Best Universities → United States
11. 🇫🇮 Best Happiness → Finland
12. 🇮🇸 Best Clean Energy Use → Iceland
13. 🇺🇸 Best Startup Ecosystem → United States
14. 🇨🇳 Best Manufacturing → China
15. 🇫🇷 Best Tourism → France
16. 🇩🇰 Best Governance → Denmark
17. 🇩🇰 Best Low Corruption → Denmark
18. 🇩🇰 Best Women Safety & Equality → Denmark
19. 🇸🇬 Best Smart Infrastructure → Singapore
20. 🇪🇪 Best Digital Government → Estonia
21. 🇩🇰 Best Rule of Law → Denmark
22. 🇳🇿 Best Air Quality → New Zealand
23. 🇩🇰 Best Climate Action → Denmark
24. 🇺🇸 Best Space Technology → United States
25. 🇨🇭 Best Financial Stability → Switzerland
26. 🇵🇦 Best Ease of Living for Expats → Panama
27. 🇩🇰 Best Social Security → Denmark
28. 🇳🇱 Best Urban Planning → Netherlands
29. 🇳🇴 Best Renewable Energy Share → Norway
30. 🇨🇭 Best Overall Living Country → Switzerland
Source: OECD, UN, World Bank
Mambo 5 Unayohitaji Kabla Hujafanikiwa:
1. Nidhamu.
2. Uvumilivu.
3. Marafiki wachache wa kukuelewa.
4. Moyo mgumu wa kuvumilia watu.
5. Imani kubwa ya kwamba unaweza.