Tweet ya heshima kwa Haji Mnoga, kijana amepambana sana aisee. Sasa tunakiona kizazi kipya cha Taifa Stars Chenye Kiu ya Mafanikio. Kesho yetu ni bora sana.
Hongereni vijana wetu wa Taifa Stars kwa kufuzu michuano ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (2023 Africa Cup of Nations). Mmeandika historia kwani hii ni mara yetu ya 3 kufuzu tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nawatakia kila la kheri.
π¨ D O N E D E A L π¨
Tumefikia makubaliano na klabu ya Yanga ya kumnunua, mchezaji kiraka, Yannick Bangala na amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Bangala karibu Mbagala! βͺοΈπ΅π¦
#weareazamfc#timuborabidhaabora