PWANI: Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka amesema Serikali inaboresha utaratibu wa Utumishi wa Umma kwa kuwataka wafanye mtihani wa kupima uwezo ili kupandishwa daraja au kuthibitishwa kazini.
Amesema uamuzi huo unatokana na kuwapo kwa wasiwasi kuwa Maafisa wengi wa umma walipopandishwa kwenye nyadhifa mpya wanakosa hata maarifa ya kimsingi kuhusu jinsi Taasisi za Serikali zilivyo.
Ametoa kauli hiyo Julai 28, 2025 wakati akifungua mafunzo ya siku nne kwa Watendaji Wakuu wa Taasisi 114 za umma katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Chuo cha Uongozi.
Soma Zaidi https://t.co/KprAg9a3N3
#JamiiForums #JamiiAfrica #Uwajibikaji #UtawalaBora
1. Kunywa Maji Mengi, 1-2 Litres kila siku!
2. Fanya Mazoezi ya Kutosha!
3. Kula Vizuri, Vaa Vizuri, Nukia.
4. Usijipe Umuhimu Kwenye Maisha ya Watu!
RUDIA.
Good Morning 𝕏
Kama kuna project/mradi unafanya umeanzisha Kampuni/bishara soma vitabu,
1. Ezra
2. Nehemia
3. Zakaria
Angalia siri za kiroho zilizoambatanishwa kwenye ujenzi/projects za hawa watumishi.
📚 Nikupe SKELETON ya kitabu chote cha ufunuo wa Yohana
🔸️Sura 1 - 3
Ni sura zinazo beba kipindi cha kanisa au church age.
🔸️Sura ya 4 - 5
Ni sura zinazo elezea maisha ya unyakuo na kitakachokua kikiendelea mbinguni
🔸️Sura ya 6 - 18
Ni kipindi kanisa likiwa mbinguni miaka 7 na duniani kutakuwa na dhiki kuu ya miaka 7 ikiwa miaka mitatu na nusu bata na miaka mitatu na nusu ni kilio na kusaga meno.
🔸️Yesu Kristo atarudi kumhukumu mpinga kristo atamkamata shetani atamfunga kwenye ziwa la moto pia atamua shaidi wa uongo ambayo ni dini ambayo inamsapoti mpinga kristo afanikiwe.
🔸️Sura ya 20 - 21
Ni hukumu ya mwisho na ufufuo wa pili.
Mbingu na nchi mpya.
John Cena, anakosolewa vikali na wanawake baada ya kugundulika kuwa alimlazimisha mpenzi wake wa zamani, Nikki Bella, kusaini Mkataba wa kuishi pamoja kurasa 75 kabla ya kuhamia kwake.
Vipengele muhimu vya mkataba huo vilikuwa;
- Nikki alihesabika kama “mgeni” na endapo mahusiano yataisha, alipaswa kuondoka kwenye nyumba ya John Cena ndani ya saa 48.
- Hatoruhusiwa kuchukua chochote ambacho hakikuwa chake.
Miaka mitano baadae mahusiano yao yalivunjika.
Nikki akapata mwanaume mwingine na anamlaumu John Cena kwa kutokuwa wekeza kwa asilimia 100 kwenye mahusiano yao na kwa kutomwamini.
Somo: Wanaume wanaingia kwenye mahusiano kwa upendo, wanawake wanaingia kwenye mahusiano kukwepa umasikini.
SABABU 12 ZINAZOKUFANYA UWE MASIKINI;
1. Kuamini kuajiriwa ni maisha yako (9-5)
2. Kufanya maamuzi kwa shinikizo la wazazi
3. Kuogopa sana kujaribu jambo jipya
4. Kuchukua ushauri kwa wasiofanikiwa
5. Kuweka akiba badala ya kutengeneza pesa
6. Kuamini kuwa tajiri ni bahati
7. Kushindwa kuwekeza kwenye chochote
8. Kutokuweka mipango ya hela
9. Kutumia kuliko unachoingiza
10. Kutafuta visingizio badala ya vitendo
11. Kutojifunza vitu vipya
12. Kutokuwa na nidhamu ya kazi/biashara
Kama unaumia na kinachoendelea Tanzania, Kama unaumia na utekaji, uuawaji na upigwaji wa wananchi, Kama unaumia na udhulumat unaofanywa na CCM . Kama unataka mabadiliko, tafafhali sasa hivi, dakika hii tuma pesa kuchangia tone tone. Ruzuku ya Chadema imefutwa kinyemelewa, CCM wanahakikisha wapinzani hawana pesa ili washindwe kufanywa chochote na iwe rahisi kuwanunua. Lazma wananchi muwatumie pesa la sivyo watashindwa kuwapambania.
BORA USILIPIE APP YANGU ILA TUMA PESA CHADEMA. Kama una buku 2 tu to spare naomba usilipie Umbea wangu instead peleka hiyo pesa kwenye ukombozi wa nchi, watumie Chadema hiyo pesa. Mimi dada yenu kupitia mapato ya App nilichangia milioni 3 miezi michache iliyopita na leo nawatumia milioni 3 zingine.
Tigo- Mixx by yas
1. *150*01#
2. Lipa Bill No.4
3. Weka namba ya Kampuni 213050
4. Ingiza kumbukumbu namba 1234
5. Weka kiasi cha fedha - kuanzia 1000
6. Ingiza neno la siri
Vodacom
1. *150*00#
2. Lipa kwa M Pesa No.4
3. Ingiza namba ya Kampuni 111333
4. Ingiza kumbukumbu namba 1234
5. Weka kiasi
6. Ingiza Pin
Mpesa
1. Bonyeza *150*00#
2. Lipa kwa M pesa No. 4
3. Ingia malipo ya kujirudia No. 09
4. Weka malipo ya kujirudia No. 1
5. Weka namba ya kampuni No. 3
6. Namba ya kampuni 111333
7. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo 1234.
8. Weka kiasi
9. Weka jina la malipo CHADEMA
10. Marudio kila siku, wiki au mwezi
11. Weka tarehe ya kwanza ya malipo 2802025
12. Weka tarehe ya mwisho ya malipo 28022026
13. Weka namba ya siri
14. Bonyeza 1 kuthibitisha
DIASPORA
NAMBA: 0744 446 969
JINA: CHADEMA HQ
MTANDAO: VODACOM
BANK
NMB
JINA: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
NAMBA: 22606600140
SWIFT code: NMIBTZTZXXX
Good morning
🍀Pinax ginseng is every man’s favorite to get your wood rising. It is easily available on the market ?
Rise every morning and Make her shout “your name” the next time with ginseng root
Kama kweli umeumizwa na taarifa ya MSAJILI kuzuia Ruzuku za CHADEMA basi fanya kweli shiriki #ToneTone sasa.
Weka screenshot ya muamala wako kwenye Comment hapo.
Mimi nachangia 50K saizi.
Soma maelezo namna ya kuchangia TONE TONE.
REPOST 200
#ToneTone#NoReformsNoElection
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ni wangapi walikuwa wanajua kwa miaka mitatu tumekuwa na WAKUU WA USALAMA WA TAIFA watatu tofauti?
Kiusalama wa nchi hii haipo sawa. Leo tujadili hoja za GWAJIMA kama mtanzania, tumvue kofia alizonazo zaidi ya 6 kama alivyosema.
Press ya GWAJIMA leo imelisaidia sana TAIFA. Acha kusikiliza vipande vya press unavyokutana navyo mitandaoni, nenda YOUTUBE kasikilize ile press yake ya SAA MOJA.
ASANTE GWAJIMA.🤝
TUTAKUWEPO🫵🏾😎