@EsirEid Labda hali yahewa ingekuwa tatzo la wenyewe kushindwa kutrain ,lakn sababu kubwa ambayo mm pia nimeona tatzo ni kwann wazuiliwe hapo tu ndio simba ana sababu.
@EsirEid Uingize timu uawanjani afu ufungwe kwa bongo watachukua point hiyohyo ww kama kiongozi uliruhusuje timu haijafanya mazoezi yaan ni balaa aseee