#TajiriLaKihaya
Huyu HAJI MANARA walimpa utangazaji hapa Wasafi Radio…
Kwa vigezo gani??
Haya mahojiano na MAKAMU WETU HECHE… kayafanya Vibaya mno!
Ameshindwa kuficha UCCM wake… Tafikiri ni DEBATE😂
Jamaa kawa mtetezi wa serikali…kila point ya Heche anapinga…
Uzuri heche kampa Elimu… maana ameonesha leo ni mtupu saana kichwani!
The moment Samia Suluhu was let go easily for her atrocities in Tanzania after and during the elections by the international community, it set a very bad precedence for horrible things to come.
Bado kuna kitu hatujaelewana kuhusu tawala zilizopita na tawala za sasa!!
Regime ya 1995-2015 agenda kubwa hasa za wapinzani zilikuwa Rushwa & Ufisadi!!
Tulipofika mwaka 2015 Gari likapiga U-turn
Agenda mpya ikawa introduced hapa!!
Yes kwa kiasi kikubwa Banza aliweza kupunguza ufisadi & rushwa 👏
So agenda za zamani zikawa ziko sorted asilimia fulani!!
Alichokosea Banza ni ali-introduce agenda nyingine mpya ambayo huko mwanzo haikwepo, na kama ilikwepo haikuwa kwa kiwango kikubwa kama cha kipindi chake!!
Ndipo ukaanza #Utekaji #Uuaji Maiti zikaanza kuokotwa baharini
#FreedomOfSpeech ukikosoa unashughulikiwa!!
#MediaHouse zikaanza kunyimwa uhuru wa kukosoa!!
#Wapinzani wakaanza kupewa kesi na kufungwa, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe!!
Wapinzani wakaondolewa Bungeni kisiasa, na mpango ulikuwa kuua upinzani!!
Nchi ikawa bubu ba iliyojaa hofu kubwa!!
Ilikuwa ni regime ya UDIKTETA!!
Hivyo anko aliweza kuzuia ufisadi & rushwa lakini alileta life style nyingine mpya kabisa na mbaya coz iligusa uhai wa mtu!!
So stop saying kwanini Magu mlimkataa, Yes tulimkataa coz ali-introduce kitu kibaya nchini, ingawa aliweza kuzuia rushwa na ufisadi!
Alicho ki-introduce Banza kwenye utawala wake, hawa waliomfatia wameendeleza tena wameenda xtra miles!!
MBAYA ZAIDI HAWA WA SASA WAMERUDISHA NA ZILE AGENDA ZA ZAMANI RUSHWA & UFISADI!!
Yani hawa wa sasa wanakula #Rushwa wanafanya #Ufisadi Then Wanaminya Uhuru wa watu kukosoa, #Wanateka #Wanaua #Wanabaka #WanaBan Media house!! Wanafunga wapinzani…….
Ndio tuko hapo sasa…..
Nchi hii sasa imekuwa kuua ni rahisi kama kunywa kikombe cha kahawa. Tulishawahi kuonya zamani tukikumbusha msemo wa Kihispania unaosema: “Tabia huanza kama utando wa buibui, lakini huishia kuwa kama reli.”
Tabia mlizojizoesha za kuumiza, kutesa na kuua sasa zimekuwa sehemu ya utambulisho wa nchi na utamaduni wa Nchi yetu. Sasa ni dhahiri kuwa kila mmoja atabeba dhamana ya kukaa kimya wakati uovu ukikua mbele ya macho yetu.
Muda pekee ndiyo utakaotuonyesha ukweli. Kila mtu atalipa gharama ya kukaa kimya dhidi ya uovu unapotawala.
@Thommunkondya Nimekua humu kwa miaka mingi, nimeona wajasiliamali kadhaa wakiharibu biashara zao kwa kulamba mataco ya watawala, nilichojifunza wengi hawakua wafanyabiashara ila walikua wanatafuta visibility kwa viongozi ili nao wale shavu, wewe ni mmoja wao.
@amina_hafidh Make it a joke but in this world has never appeared a person who won the battle of citizens. Stay low and show dignity before it's too late. Don't mock with citizens kama ufanyavyo hapo, siku watakuchoma moto huku wakitabasamu. Jifunze kwa wana-ccm walioharibiwa mali zao.