ABC News ya Marekani imeripoti kuhusu kesi za ugaidi Tanzania…..
Hii ndio Tanzania ya Jakaya Kikwete na Samia Suluhu. Wako tayari Tanzania ipoteee na kuwa kama Sudan ila sio wao na familia zao kuachia nchi ili Watanzania wapate haki ya kuchagua bunge lao, Chama chao and most importantly rais wao….
Inabidi Watanzania muelewe kuwa nchi ipo hapa sababu watu wawili na washirika wao wanataka kuinyonya Tanzania milele.
Hii ndio Tanzania chini ya chama cha mapinduzi…….
Ahsante @HecheJohn kwa kuendelea kurisk uhai wako kwa manufaa ya nchi yetu.. Watanzania hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua. Wewe na Lissu ndio viongozi pekee Tanzania mnaostahili kuombewa na Watanzania.
https://t.co/1zFJm9z9pC
@HusseinAMwinyi Nilikutabiria hili mapema na nilisema Dr. Hussein ally mwinyi atakipata anachostahili na ichi ndo unachostahili, Go go baba... Nafasi ni yako wakati ni wako sasa.