Una Habari kuwa ukitumia Little Ride unapata punguzo la 3000Tsh kwa safari ya kwanza!
Mimi nilipa 500 badala ya 3500
Inapatikana Dar, Dom, Chuga na Mwanza
Download sasa app ujifaidie discount yako https://t.co/MCZ6yKUh1n
Follow @littleridetz Insta @Littletanzania#JaribuLittle
@JambohR @MariaSTsehai@RobertAlai Katika Kiswahili neno hili 'bibi' lina maana tofauti kwa wakenya na watanzania. Kenya linahusishwa zaidi na mke ama mpenzi wakati kwa watanzania ni mzazi wa kike wa baba au mama, ni 'bibi'; na wa kiume ni 'babu'. Kwahiyo hapa suala ni context tu!
@SuphianJuma Suphian mimi ilinitokea baada ya kupata mafua makali na maumivu ya kichwa, mwezi umepita sasa. Daktari hakunishauri kutumia dawa yeyote zaidi ya kuniambia nifanye mazoezi na kula matunda hasa machungwa kwa wingi. Baada ya siku 4 iliisha yenyewe. Mshauri barakoa mpango mzima!