@johnmtangoo_1@JumaAyoo@Geoffrey87Lea Sorry ndugu, na kabla ya hayo maswali, kuna swali la msingi ujiulize.
Ni kwanini wale watu wa Yanga walihusika na kuweka blocks getini na kufanya tafrani kwa Simba wasiingie uwanjani kwa ajili ya mazoezi? Hicho ndicho kiini kabla ya haya yote...ukifikiria utapata majibu yote.