Kuna kosa moja kubwa naliona wafanyabiashara wengi wanafanya.
Wanashusha bei, wanatoa ofa nzuri, halafu wanashangaa kwanini watu hawanunui.Jibu ni rahisi: Watu hawaamini ofa za bure.
Ukiniuzia iPhone 17 mpya kwa Laki Tano leo, sitainunua. Nitakimbia.
Kwanini? 🧵
Sababu inabadilisha "Mashaka" kuwa "Mantiki" .
Watu wanapenda kununua , lakini wanahitaji uhalali wa kwanini wamepata hiyo deal.
Usitoe ofa bubu. Ipe sababu.
Utaona mauzo yakiongezeka.