MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISSU LEO
โWaheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
Waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fitโ acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemalizaโ @TunduALissu
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
#FreeTunduLissu
@kwamekivaisi@Jr3Urassa Wee msenge unajua nini....???? Ushawahi pigwa ata kofi wewe @kwamekivaisi utakuwa umepunguiwa akili i swear to God.
Kiongozi ana speak vya maana lakini haitoshi kmamamaeee
@mj0058 KATIKA TAALUMA yeyote kuna hiyo kitu #Ethics na ni katazo...lakini kiubinadam likikutokea VANGA BOVU kama hili alafu kikundi cha watu flani wanao misuse maadili ya kazi zao NATUMIA SIRA HAYANGU #MAMA_AMINA๐ง๐ก๐ก๐ก๐ก
Kijana Tawi amemsamehe babake ambaye ni BAHARIA aliyerudi kutoka South Africa.
Alimfuata babake Ilala akamkuta nje tu kijiweni akamchukua wameenda kuishi wote kwa rafiki wa mtoto, Mtoto pia Bado Hana kwake anajitafuta, Kumbuka Baba alimuacha Tawi akiwa hajafikisha mwaka mmoja, na sasa ana miaka 30.
Ndio ndugu wa kwanza baba kukutana naye na kumpa a place to call home na feeling ya family .
@Sweet_nectar1 The statement on the whiteboard is incorrect because there are actually many common English words that start with T and end with K.
Here are some everyday examples to prove it wrong:
Think
Thank
Talk
Tank
Track
Trick
Task
Took
Truck