@hancymachemba@tanroadshq Hii bandari kavu Mbagala sijui ni Kiongozi gani aliyeileta huku tena ni eneo la Jeshi hivi wameshindwa kuipeleka hata Mwandege/Mkuranga kabisa ukishangaa la Mbagala unakutana na eneo la Bakwata Chang'ombe nalo ni Bandari kavu na Viongozi wa Bakwata wakawa na chuki na Sheik Ponda
@HildaNewton21 Kila kukiwa na siku ya Mapumziko Kitaifa ni Maandamano kitawafanya wachangamke hawa wanyima haki na kwa nini hizo nguvu hazipelekwi kwa kuwakamata Wasiojulikana,wabadhirifu wa Mali za Uma,Kwenye Katiba Mpya,Tume huru za Chaguzi,Ajira na Miundombinu ya Kisasa
@joeselasini Yaani ifike siku mtu akiongea uongo na tukahisi ni uongo basi tunyanyuke kwenye viti kama tumesimama tuondoke tumwache aongee peke yake
Hapo Kuna jambo linaenda kutengenezwa kwa mtu kukamatwa wa mchongo Kisha ionekane Mwigu alisema
@CWilfred77753@PMadeleka Mahakama zipi sasa hizi tulizoambiwa za kupigiwa simu nini cha kufanya, chochote kinachotoka kwenye vinywa vya hawa wanaojiita viongozi huko ccm ni sheria
Ni upumbavu sana wamejilimikisha kila kitu
@royalmediatz ccm haitaji mikutano ili kunadi Sera maana hawana ni yaleyale Puna
Wanachofanya hapo ni kuwakosesha CHADEMA kuzungumza Ukweli juu ya maovu yao
@mlangila1@PMadeleka Hapo anamkejeli maana hiyo kauli sasa imeshakua ni ulaghai zimeshapita zaidi ya siku 180+ kwa nyongeza siku nyingine ukiona kauli anamsifia huyo Mwenyekiti wa ma ccm zichunguze sana huwa zinakua za kumkosoa
@Thommunkondya Nyie mnajenga uhusiano na wapiga kura au na tume pendwa ya kwenu?
Maana ma 📦 huwa yanakutwa tayari yana ma milioni ya kura bandia kila chaguzi
@Royaltv_plus@AllyHapi@ChademaTZ2 Hutasikia huyo akiitwa na Msajiri wala jeshi la polisiccm kumuhoji ndo tumefika hapo hayohayo yageuze azungumze mpinzani atahojiwa mpka na sungusungu