Yeah! KR alisemaga hii kuwa verse ya Cowwizzy kwenye msela ilikua ni freestyle tena baada ya ile ya kwanza kutokurecordiwa na majani.
Ila unaambiwa ile ya kwanza ilikua kali ya hii, sasa waza ilikuwaje?😁
@munyamambogo Ningekuwaa msemaji au nasaut NINGEPENDEKEZA DEREVA WA BUS AWE NA UZOEFU WA KUENDESHA LORY MIAKA MITANO AFU NDO APEWE IDHIN YAKUENDESHA WATU 60 AU 70 NAAMIN SANA UWEZO WA MADEREVA WA MALORY JAMAA N SENIOR SANA