Nani ajuaye? Labda Yuda hakuwa na nia mbaya sana dhidi ya Yesu. Huenda alifikiri anawapiga changa la macho Wayahudi. Alijua Yesu ni mtu wa miujiza, mwenye uwezo wa kujinasua katika hali yoyote. Pengine aliamini atachukua vipande vyake 30 vya fedha, huku Yesu akiwashangaza tena waliokuja kumkamata.
Anyway , CCM haipo tena. TUBU na karibu CHADEMA. Umetukanwa sana. Dhihaka hiyo hapaswi kufanyiwa hata Mwenyekiti wa TAWI.
Nyakati Tano za Kupiga Ishara ya Msalaba:
1. Wakati wa sala ya binafsi: Kuanzisha sala kwa Utatu Mtakatifu.
2. Unapopita kanisani: Kuonyesha heshima kwa Sakramenti Takatifu.
3. Unaposikia king’ora cha gari la wagonjwa, zima moto, au polisi: Kuomba ulinzi kwa walio katika hatari.
4. Unapopita makaburini: Kuombea roho za marehemu.
5. Unapoona ajali: Kuomba msaada na ulinzi kwa wahanga.
VIDEO: Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Bashiru Ally akiwasili Bungeni leo kwa ajili ya kuapishwa baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan jana kuwa Mbunge huku nafasi yake ya Ukatibu Mkuu Kiongozi ikichukuliwa na Balozi Hussein Kattanga.
#MillardAyoBUNGENI