@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@MissChelsea1221@DullahTheking2 Kiswaswadu ni rahisi mpaka uwe na vifaa vya ss7... au ku clone lain
Android is too easy than keypads anko kwasababu ku develop trojan na ku deliver ni easy mfano gb whatsapp kipindi kile ilikuwa sio rahisi mtu kujua kama ni trojans zile(rat)
@ze_mandevu Proton ndio na suggest sana in case ya data zako kupatikana kama passwords na vinginevyo
Vpns nyingine hizo anko wanaa angalia kila unachofanya mkuu kwenye servers hasa hizi za free hizi