@JamesJ2020@joeselasini Sasa huo muungano wa wapi?uroho wenu wa madaraka ndiyo unaokwamisha umoja wa upinzani nchini..Maalim Seif alishindwa kujiunga cdm kwa ubinafsi wenu.leo hii mngekuwa na nguvu sn bara na znz lkn mkamuangusha kwa tamaa ya madaraka..hamkutaka kupoteza baadh ya nyadhifa,maalim akasepa
@BiggieGJK@joeselasini Chadema yenyewe ina watu wa project ya kijani..wakilambishwa asali kidogo tu chali..ukimtoa lissu labda na heche kidogo waliobaki wote ni km uvccm tu, msijipe ubora huo hamna
@SimpertE@joeselasini Juzi tu hapa mmemkataa mbowe mnasema ni kibaraka wakat mlimuimba kwa kila pambio...viongoz wenu wakuu mmewashtumu ni vibaraka..sasa chadema aaminiwe nani huko?msijipe umuhimu wa kujiona bora wakat kwenu kuna vibara kibao
@SimpertE@joeselasini Wakat nccr na cuf wana nguvu, cdm mlifikiria kuacha chama chenu mkajiunga huko?kila chama na sera zake..km sera haziendan
hilo gumu kufanyika.mnaweza kushirikiana kwenye uchaguzi mkakubaliana baadhi ya mambo tu na mkafanikiwa.otherwise na cdm nayo isiwepo,uwepo the like of UKAWA
@joeselasini Mbona chadema ilipokuwa chama kidogo hawakujiunga na nccr wakat ule au baadae cuf?au walikuwa vibaraka?huwez kuwalazimisha wengine wajiunge na chadema ndiyo waonekane wapinzani..la muhimu ni kuwepo na ushirikiano na umoja wa dhati cyo unafik na kujiona ww ni bora kuliko wengine