Mgombea wa U Raisi na Raisi wa Zamani wa Marekani Donald Trump ameponea chupuchupu kuuwawa akiwa penslivilia baada ya kushambuliwa na risasi na mshambuliaji ameuwawa huku secret service agent wakilaumiwa.
AHADI NI DENI MH MAKAMU WA RAISI
Wana Same tukukumbushe msemo wa kiswahili ahadi ni deni.
Ulipokuwa Same kama Mgeni rasmi siku ya mazingira Dunia utajiuzulu maji yasipotoka